When i first saw the place my jaw just dropped in amazement.That's very weird!
When i first saw the place my jaw just dropped in amazement.
Ingekuwa saloon ya kiume ningeuliza ya kike nitaanzaje na pia Liz pale kuna wasomi wengi tu madaktari/manesi/wana chuo kweli hamna aliyeona ?Umemuuliza?!Labda ni jina lake au neno la kikwao!
this will surely reduce the number of clients they get.I bet that name turns around some people. I wouldn't use a lot of people coz I suspect many people don't even know what lice is.
Nisingetinga hapo,lol!!
ningeshangaa ungeenda na hao vipilipili nywele ndefu kwao marufuku hahaha!Baby siendi hiyo saluni hata bure.lol.
Kuna nyingine inaitwa vipili pili hair dressing saluni. Khaaaa!
Watu kwa kujiharibia.
job tru tru! lol!Nisingetinga hapo,lol!!
Ingekuwa saloon ya kiume ningeuliza ya kike nitaanzaje na pia Liz pale kuna wasomi wengi tu madaktari/manesi/wana chuo kweli hamna aliyeona ?
tangazo limeandikwa kithungu na LICE can only mean one thing,hata kama ana maana ingine huoni itampunguzia wateja kwa mfano kuna exchange students wengi pale chuoni ?Kama hujafanya hivyo na hujui alichomaanisha yeye then sioni sababu ya kuponda kitu tusichoelewa!!
Signwriter akifanya kosa kama hilo si unamwambia asahihishe ? saluni ya nywele unaiita Chawa ?
tangazo limeandikwa kithungu na LICE can only mean one thing,hata kama ana maana ingine huoni itampunguzia wateja kwa mfano kuna exchange students wengi pale chuoni ?
Sio kila neno unalolifahamu lina maana ile tu unayoijua wewe...ndio maana hata majina ya watu wengine watu ambao wanatoka kwenye jamii tofauti wakiyasikia wanashangaa.Hivyo hivyo kwenye lugha....kuna maneno hata mimi naweza kukwambia hapa ukaona hayana ubaya wowote au majina nikakutajia ukaona yamekaa vizuri kumbe kuna sehemu ni matusi.Kwahiyo kabla ya kusema kakosea spelling/kakosea kupaita chawa/neno lina maana nyingine tusiyoijua sisi ni vizuri tukajua kwanza yeye alikua na maana gani.
Labda alimaanisha saloon ya kuondoa chawa kichwani ha ha ha ha ha nimecheka kwa keyboard hapa
Duu nadhani alimaanisha Lace sio Lice...na inaweza ikawa ni jina lake alilopewa na bibiyake huko kijijini kwao..