Ladies. . . what's HOT, what's NOT? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ladies. . . what's HOT, what's NOT?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Jan 21, 2012.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ladies , what attracts you the most on a man when it comes to physical and facial appearance?

  . . . I. . .

  [​IMG]


  Strong, broad shoulders and a mascular back (from neck, down to the waist). That's where I look to determine if a man is strong or not. What can I say, a man's strength is my weakness.
  Vidole virefu vya mikono, miguu mikakamavu ila isiyo na viazi/vigimbi vya kufa mtu, na shingo ndefu.
  Sura sijali sana as long as imekaa kiume.
   

  Attached Files:

 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh unamvua ukimuona barabarani umuangalie au?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  sorry havinihusu
  but nimeona sehemu yanayozungumzwa
  yanafanana na huu uzi
  so nimewaletea hope sijaharibu....  BabyK said... Afadhali umelianzisha mimi navutiwa sana na lugha isiyofasaha. Yaani mwanume akiongea kiswahili cha kihuni mimi huwa nakufa na kuoza kabisa.
  9:07:00 PM Riz said... makalio gani ya kiume unazungumzia dinah? Mimi binafsi navutiwa na yale magumu alafu yanafanya kupwaya kwenye suruali yani kata ***** inajiweka bila kukusudia.
  9:13:00 PM Anonymous said... vidole vya miguuni,mikononi nywele za kichwani low cut ya maana kifua naweza zimia vinanipeleka mbio kiukweli yaniiii
  10:08:00 PM Anonymous said... mwenzenu weusi wa ngozi ya mwanaume alafu iwe laini sio yakupauka hapo natoa na udenda kabisaaa.
  1:51:00 AM MrsT said... Mwenzeni huwa mnyonge sana mbele ya mwanaume ndani ya suti tena nyeusi,
  2:08:00 AM Anonymous said... mie mrefu, mwesi na wenye kipara sio unaachia vinywele kama Nkapa aaah unaziondoa zote yakhe mbona nitakupenda milele
  2:41:00 AM Anonymous said... mie mwenzenu, huwa nachanganyikiwa nikimuona mwanaume mweusi,mrefu ambaye ana kitambi kwa mbali,mwe.
  1:36:00 PM Mwamini said... Napagawa nikikutana namwanaume mwenye ngozi nyeupe sio mzungu ule wa ngozi ya kiafrika kama wanyaturu na wapare alafu wawe na tumeno twenye randi ya dhahabu huuu navua chupi mwenyeweeeeeeee.
  2:44:00 PM Anonymous said... tall ,dark(chocolate colour),short hair cut ,deep voice ,long fingers ,not skinny not fat musculine build,white teeth ,a bit of muffins(guyish butt)a bit of hairy legs ,hairy chest n a bit of thick lips..............a bit thick eyebrows jamani im tooo picky i guess
  rey
  2:47:00 PM Lilian Mushi said... wanaume wenye ****** makubwa mimi huwa nahisi kama vile hawajui kutomba yaani hawakukazi vilivyo. Nikija kwenye kinachonipagawawisha ni vidole kama vya Cpwaa na midomo minene namisafi kama ya Ne-Yo.
  2:49:00 PM Dinah[​IMG] said... Safi sana kuwa wazi....Ladies endeleeni kushusha mpendavyo/vutiwa kutoka kwa hawa viumbe waliojaaliwa kiungo kitamu.

  Riz; ****** ninayoyapenda ni yale ya kiume...ngoja nikupe mfano wa karibu....unajua wale vijana wa Akudo walivyo na vibode vizuri? basi vitako kama vile ndio napenda kuvikotolea macho.....
  3:59:00 PM Anonymous said... Mimi navutiwa na wanaume wasela lakini wastaarabu kama Nature vile jamaa kama huyo ukizaa nae unatoa mtoto bomba sana.
  5:16:00 PM Janne said... Jamani mi mwanaume yoyote aliye na kitambi na tumatako tulikoingia ndani (kapigwa pasi) wananiumiza sana roho yangu maana hao mungu huwa kawajaalia kweli kwenye ile shughuli.
  1:36:00 AM Egidio Ndabagoye[​IMG] said... Duh! sifa zoote sipo!
  4:51:00 PM Anonymous said... Duh kweli hata mimi sifa zote sipo ila JANNE wewe shujaa miwanawake wachache huwa wanapenda watu wa namna hiyo
  10:21:00 AM Bongo Pixs[​IMG] said... Nakuunga mkono egidio,
  mi ndo kabisaaaaaa
  1:39:00 PM SHEYSEZZY[​IMG] said... Awemmweusi mfefu mwenye kifua cha haja n pozi la kuongea aiyependa misfa.
  3:29:00 PM SHEYSEZZY[​IMG] said... awe mrefu mweusi na kifua cha haja huyo huwa ananimaliza
  3:30:00 PM
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama mazingira yanaruhusu NDIO.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha. . . thanks Boss. . .
  Umenifanya nikakumbuka kitu.
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Nimeangukia pUa hapa..nasepa
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,012
  Trophy Points: 280
  yaani......tatizo la hii misifa ambayo bahati nzuri sina......................ni kuwa ni neema za kuzaliwa nazo.....................hazina mchango wa mhusika katika kuziboresha...................mazoezi yatakupa broad shoulders? jibu ni hapana..............mazoezi yatakupa broad back.........jibu ni hapana................mazoezi yatakupa misuli jibu ni ndiyo..................mazoezi yatarefusha vidole vyangu...........jibu ni hapana............mazoezi yatanipa viazi/magimbi ya miguuni............jibu ni ndiyo...........kwa hiyo ili niwe na sifa hizi yabidi niwe nimezaliwa nazo tu

  .....tatizo hapo ni kuwa...............come easy goes easy...................sifa za wandani wangu ni zile ambazo yeye ana sauti nazo katika kuziboresha.......kama tabia na vipaji vinginevyo........................looks hardly matter.........to me, fatal looks are a mere distraction.......they do not electrify my heart.......

  physical strength is summarized as brawn............................but mental strength is brainy oblongata.....................I will always crave to have the latter choice, if choosing is no longer an option of choice...............
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  -Height
  -Strong body
  -Smile
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Lizzy napata Bfast nakuja
   
 10. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Lizzy you have just described me! Loh!
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  karibu..
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  umekumbuka nini?
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aiseee......!!!
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  You are welcome Lizzy.
  Though age hairuhusu
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hii ni fikra ya kivivu zaidi, kufanya mazoezi kutaimarisha mwili wako juu mpaka chini. Ndio hayatopanua mabega yako ila yatayapa nguvu pamoja na mgongo. Sio mtu unakuta mgongo umejaa nyama mpaka ule mfereji wa katikati unakua kama umefukiwa na kifusi cha mchanga. . . Lol.

  Kwahiyo swala hapa sio kuzaliwa na hiki au kuzaliwa na kile ila ni namna gani unaimarisha kile ulichonacho.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utakua umemaliza sasa mama wa kwanza. . .wapi jibu?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha. . . unajipigia promo ehhh?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh! Kufunguka kwingine ni sawa na kulipuka Boss kwahiyo I can't tell.
  Sasa nini na wewe kakondoo?
  Hhmmm. . . nikaribie wapi tena C? Na umri hauruhusu nini?
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nyie watu nyie.....leo jumapili ati!! Mazingira gani hayo yakumfunua mtu kutafuta mvuto?? Labda ka ushanasa tayari!
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  m..m..m....hamna kitu! Mi nilikuwa napita tu!
   
Loading...