I am not a lady, ila nakubaliana na huyo dada, ila najiuliza katika hii modern life, watoto wetu muda mrefu wapo boarding watajifunza vipi baba na mama wanavyotatua matatizo ya kifedha katika familia, uhusiano na relatives pande zote, approach ya ku solve conflicts za hapa na pale nyumbani....ni tofauti kabisa namaisha ya kijima, baba alipata muda kwenda kumfundisha kijana kazi za kuwinda kulima biashara kwa ukaribu zaidi....mtoto wa kike ali-observe kwa karibu kabisa shuguli zote azifanyazo mama, jinsi mama anavyo handle emotions kukabiliana na challenges mbalimabali ku manage nyumba, chakula wageni watoto, mzee, na shughuli nyingine za kijamii....
Kutokana na wazazi kwasasa kuwa bize, nadhani wapo vijana wachache sana, females in particular, wanao faidi matunda ya kujfunza ndani ya familia mambo muhimu for early maturity.