Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!



TF I really hope from the thread umepata an insight ya kumuelewa .....
 


NK I am proud of you... Ndio mimi ni mwanamke lakini nadiriki kusema wanawake wachache wana busara hio.... Kukitokea matatizo kati ya wewe na hubby (just in case anakuzingua) please notify me... I have wonderful brothers...
 
Mwenzenu sina baba mkwe wala mama mkwe natamani na mie wangekuwepo niringe ringe kidogo ,najua mama mkwe ni rafiki wa mkwewe bwana haya mastory mengine ni kutafuta tu namna ya kuwekeza upendo kwa mama mkwe.
Mungu awaweke mahali pema peponi Amen
 
Kuna mama mkwe wengine visirani unaonyesha upendo,
wa hali ya juu unamuheshimu, unajitahidi kumwonyesha
wewe ndio unastahili kuwa mke wa kijana wake
lakini anakuona kama sijui nini
kisa hakuwa anataka uolewe na kijana wake
anafanya visa mpaka unatamani kuondoka
je mama mkwe wa namna hii unatakiwa kufanya nini aweze
kukutambua kama mkwe na kukupenda?

 
Bibi yangu alikua mama mkwe mzuri sana kwa wake wa wajomba zangu....nadhani watakua wanammiss maana ilikua hata wakwe zake wakionewa yeye ndo anawarekebisha wanae!!RIP bibi!!

Nwy ukitaka kua na ndoa isiyo na misukosuko isiyo ya lazima patana na wakwe zako...jishushe ikibidi achana na kushindana na mama mtu maana hata siku moja huwezi kumnyang‘anya hiyo taito.....ila mke anaweza pata mwingine.Wakina mama nao wapunguze ukorofi kidogo....mi naomba Mungu nije kua mama mkwe mzuri....
 
Mwenzenu sina baba mkwe wala mama mkwe natamani na mie wangekuwepo niringe ringe kidogo ,najua mama mkwe ni rafiki wa mkwewe bwana haya mastory mengine ni kutafuta tu namna ya kuwekeza upendo kwa mama mkwe.
Mungu awaweke mahali pema peponi Amen


Poleni dear may they rest in peace.... Enways FL1 una bahati huna hizo mshike mshie ....
 

Nakujibu dear kadri ya uwezo wangu... Kitu kikubwa unachotakiwa uelewe tokana na sababu nilizo taja katika thread; hata ufanye nini you will never be worthy of his son (unaelewa wanawake roho zentu sometime zilivyo nzito juu ya kumkubali mtu mwingine wa karibu in a man ambae ni muhimu kwa maisha yako- iwe mtoto, mume, baba au kaka); Its nature huwezi zuia... Fanya kwamba anastahili heshima toka kwako lakini usifanye ukitegemea ata kuchekea ni wachache hujirudi....
 



Nimechoka kukuambia kua we mkareee.....
 

hahahahaha!
Nimeipenda.
 

The Following 6 Users Say Thank You to Pearl For This Useful Post:

Aisha Adam (Today), Asha D (Today), Husninyo (Today), Maty (Today), The Finest (Today), toghocho (Today)

this is vere vere mamito
 
Shukran sana mpenzi
Naona maskills ninayopata hapa yatanisaidia sana nikiingia kwenye ndoa, nitayafanyia kazi mda ukiwadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…