ladies......lets FAKE....

ladies......lets FAKE....

mi ananijua kama nimefurahi nampa hongera zake na kama kachemka namwambia pia

na kama ni marafiki, na mnajuana vizuri haina tatizo. ila yule wa kuiba iba, au mume unamuona kama baba yako au mwl darasani ndio huwezi mwambia hivyo
 
na kama ni marafiki, na mnajuana vizuri haina tatizo. ila yule wa kuiba iba, au mume unamuona kama baba yako au mwl darasani ndio huwezi mwambia hivyo

na kweli kuna waume wengine wanaact kama baba kwa wake zao wanashindwa kujua mke ni rafiki pia na ndo maana wanasaidiwa sana nje.
 
We jiachie tu fully kama mwanamke wa ukweli.
Don't fake babe.
Mimi huwa mama watoto akinisikia tu mita mia nakuja hm maudenda yanammiminika, pichuna anatupa mbali, xtra n.aked nikizama naanza kutafuna tunda la mti wa kati kwa raha zote.
Unahangaika wewe na fake zako

Hahaaaaaa mkeo akijua unakuja anafanyaje
 
i agree that ndoa is about compromising... but we dont compromise by faking our orgasm
cc Dr.Mo

This is where most problems arise, in marriage you do not certainly decide a priori where you will compromise and where you will not. If you operate like that, the whole meaning of compromise is lost! By the way, by compromising we dont mean the same partner will be in the disadvantage position for a similar thing all the time. If that happens, then it's not compromising!
 
Last edited by a moderator:
kuna mada kama hizi huwa siachi kutamani gfsonwin .awepo
i hope and i veeeeeere hope ananisoma japo kwa mbali
mwal kuja kwa mlango huu!!
puleeeeeez.
 
Last edited by a moderator:
Walaa usikose raha. Kuna wenye vibamia na wanapendwaaaa, manake anajituma kweli kweli na hiyo pekee inatosha kumfikisha mteja kibo. Hujamsikia Kongosho anasema kama una mtarimbo peleka gereji za mwenge waukodishe? Kuna wenye mitarimbo useless kabisa.

Konnie tuanzishe marriage counselling center tafadhali, ila snowhite awe baunsa tu getini.
Ukiongelea kibamia miye nakosa raha kabisa lol!
 
Last edited by a moderator:
Toka hapa! You dont realise how much energy you need to utilise before you make me feel small. Sidogoshwi mie hehehehe. I take this as a compliment, thanks buddy.
Truth be told, You two are blunt in a waaaywaaay-crude way.
- reading between the lines lakini.
 
Raha ya ndoa upate utamu sio kitanda. msonyooooooo
 
kuna mada kama hizi huwa siachi kutamani gfsonwin .awepo
i hope and i veeeeeere hope ananisoma japo kwa mbali
mwal kuja kwa mlango huu!!
puleeeeeez.

i guess nyinyi ni same person different IDs
 
Last edited by a moderator:
i guess nyinyi ni same person different IDs

hapana lovie.
mi hata kamba za viatu vya gfsonwin sifungui mamii
wengi hufikiri hivyo ila sio kweli jamani
tu mashosti wa haja tu siye.ile hasa but sio mtu mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Toka hapa! You dont realise how much energy you need to utilise before you make me feel small. Sidogoshwi mie hehehehe. I take this as a compliment, thanks buddy.
atakuwa hajasoma signature yako huyu!!
btw hiv unyagon walisemaga tuchanuage tu hata kama mtu anaruka ruka tu ka kitenesi?
 
Walaa usikose raha. Kuna wenye vibamia na wanapendwaaaa, manake anajituma kweli kweli na hiyo pekee inatosha kumfikisha mteja kibo. Hujamsikia Kongosho anasema kama una mtarimbo peleka gereji za mwenge waukodishe? Kuna wenye mitarimbo useless kabisa.

Konnie tuanzishe marriage counselling center tafadhali, ila snowhite awe baunsa tu getini.

ahshahahahaha mi ntakuwa bouncer nayetest viuno vya watu kama vinazunguruka kama feni!
speaking of mtarimbo na kibamia hv nan aliwambiaga watu hv vitu vinamahusiano na kibo??
naomba ntukane kidogo twinnie
utamu wa mdomo ni kweny mate au mswaki?
 
Last edited by a moderator:
ahshahahahaha mi ntakuwa bouncer nayetest viuno vya watu kama vinazunguruka kama feni!
speaking of mtarimbo na kibamia hv nan aliwambiaga watu hv vitu vinamahusiano na kibo??
naomba ntukane kidogo twinnie
utamu wa mdomo ni kweny mate au mswaki?

Mateeee ndo yanatest sio mswaki
 
Ha ha ha, naona kuna watu kwenye 'malieji' wanafocus kwenye sherehe ya ndoa wana-miss point ya muhimu ambayo ni kufurahia maisha pamoja.

Yaani watu wamebeba makaunta buku makuuubwa ya notisi za ndoa, wanakalia kuyasoma na kujaribu do's and dont's, wanasahau kuishi maisha yao.

Kweli tuanzishe hiyo senta aisee, hasa kwa wadada walokalishwa vicheni pati na unyago.

Walaa usikose raha. Kuna wenye vibamia na wanapendwaaaa, manake anajituma kweli kweli na hiyo pekee inatosha kumfikisha mteja kibo. Hujamsikia Kongosho anasema kama una mtarimbo peleka gereji za mwenge waukodishe? Kuna wenye mitarimbo useless kabisa.

Konnie tuanzishe marriage counselling center tafadhali, ila snowhite awe baunsa tu getini.
 
Kwenye meno:laugh::laugh:

ahshahahahaha mi ntakuwa bouncer nayetest viuno vya watu kama vinazunguruka kama feni!
speaking of mtarimbo na kibamia hv nan aliwambiaga watu hv vitu vinamahusiano na kibo??
naomba ntukane kidogo twinnie
utamu wa mdomo ni kweny mate au mswaki?
 
Teh teh teh, na wewe toa yako ya moyoni, na sie tunatoa yetu ya moyoni.

Kuna baba mkwe hapa hadi nichague maneno?

Truth be told, You two are blunt in a waaaywaaay-crude way.
- reading between the lines lakini.
 
Back
Top Bottom