Shonnah
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 200
- 55
mbona unajua mengi kuhusu nyumba ndogo,na wewe ni nyumba ndogo ya mtu nini LOLS...nakutania....umesema kweli tupu, wengi wetu sijui kwa kujisahau ama majukumu mengi wanajikuta kny hili shimo la 'kushare' ingawa hawapendi....kila mtu afanye wajibu wake akitoka basi umshukuru mungu
Hahahaha!tatzo ukishawekwa ndan unaona umefka fanya wajbu wako na muombe Mungu,wanaume wengne wanaenda huko kutafta wanachokosa kwako