Ladies let us wake up...

wakati mwingine sio rahisi kujua yupi ni yupi,kugeneralize inanisaidia kupunguza maumivu....

Kupunguza maumivu au kupotea zaidi?
Gals checklist zinawadanganya sana n the funny thing is u guys never learn from that
 
Kupunguza maumivu au kupotea zaidi?
Gals checklist zinawadanganya sana n the funny thing is u guys never learn from that

sijawahi kuweka checklist aisee.....i learn coz am a lot cautious,na hata damage ikitokea it doesnt keep me off the life i want,mambo ya mahaba nizike nani anataka ,akuu
 
sijawahi kuweka checklist aisee.....i learn coz am a lot cautious,na hata damage ikitokea it doesnt keep me off the life i want,mambo ya mahaba nizike nani anataka ,akuu

Duuuu n yet bado unataka atakayekupenda kwa dhati while u keep pushing pipo away?that's so funny
 
Kwa kuwa ulifanya kwa Tamaa na kumbuka Tamaa mbaya basi hunaupendo wa dhati juu yake naye kumbe alikuwa na Tamaa ya mtoto tu anayefanana na wewe
 
Duuuu n yet bado unataka atakayekupenda kwa dhati while u keep pushing pipo away?that's so funny

sometime it's best to let go to know who will come back on their own...mapenzi hayapo straight
 
Kwa kuwa ulifanya kwa Tamaa na kumbuka Tamaa mbaya basi hunaupendo wa dhati juu yake naye kumbe alikuwa na Tamaa ya mtoto tu anayefanana na wewe

Sometimes all u need is sm1 u can trust not luv
 
Kama haukulala basi hauhitaji kuamka; quote me.
tuache sleeping around tena bila kutumia akili!
 
sometime it's best to let go to know who will come back on their own...mapenzi hayapo straight

I agree Mapenz hayapo straight but it doesn't mean that u have to push pipo away
Let me ask u smthng
Nimeona lara1 kamtolea mfano Oprah so do you thing Oprah don't date?
Tena ukute anahonga sana so hzo kauli zake changanya na akili zako (z so stupid kumchukulia Oprah kama mfano hai)
No offence no one is perfect but blv me u can.make sm1 u r perfect partner
 
You are just too wise!
 
Last edited by a moderator:

mhh ya lara atayasema mwenyewe,
i aint pushing pipo u know,sema tu najifunza kuwa makini,sio kila anaekuapproach twende tu..
Time tells,na kama ipo ipo tuuu...
 
Sie wenyewe pia tujitunze wenyewe maana ukifanya kila anachotaka mwanaume madhara yake ndo hayo
 
You cant trust a human being, for he/she aint God! If you trust God all shld be alright!

Moja ya misemo ya kipuuzi nisiyotaka kuiskia
Unaishi na watu kila siku if u don't luv neither do trust them how dare u saying u trust God for who you don't even see?
Acheni kumdhihaki mungu
Kwa upuuzi huuu kua betrayed na mwanaume/mwanamke wako haimaanishi watu wengine hawaaminiki if u say that t means u r the one not to be trusted
Period!
 
mhh ya lara atayasema mwenyewe,
i aint pushing pipo u know,sema tu najifunza kuwa makini,sio kila anaekuapproach twende tu..
Time tells,na kama ipo ipo tuuu...

Ukisema hvyo ntakuelewa mpenz
Mapenz need sucrification kwakweli
God bless u
 
Hivi mpaka unatoa mimba tano ndani ya miaka mitatu unakuwa unataka nini? kama mwanaume amekuambia haitaji mtoto kwa muda huo kwanini mwanamke aruhusu kupokea? muda mwingine siyo lazima mwanaume aseme ninaimani kwa mahusiano ya miaka mitatu tayari unakuwa unajua hali ya uchumi ya huyo mpenzi wako na hapo lazima ujiongeze kwamba ukipata hiyo mimba jamaa ataichukuliaje? kwa upande wangu suala la kubeba mimba au kuto beba liko mikononi mwa mwanamke mwenyewe

Katika suala la mahusiano wanaume huwa wanakinai mapema kuliko wanawake sasa kama mwanamke kwenye mahusiano au hata kila wiki unampa utamu mwanaume lazima akuchoke jitahidi hata kwa mwezi mara mbili angalau hiyo inaweza kusaidia awe na hamu na wewe
 
Shame?
Unajua hyo belief yake imeundwa na nn kama sio kweli kama wamepitia mengi?

Who knows?
Pengine kwake kusindikizwa hospital ku abort,kulipiwa na kuambiwa pole baada ya abortion kwake ndio mengi?
Again,shame!!!
 
Who knows?
Pengine kwake kusindikizwa hospital ku abort,kulipiwa na kuambiwa pole baada ya abortion kwake ndio mengi?
Again,shame!!!

hehehhe nimecheka utadhani mazuri
she cant be "mzima upstrairs"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…