Ladies let us wake up...

Tobaaaaaaaaaaa yarabi!

Hufai kabisa wewe. Ngoja nimtafute Sheshibeshi anibembeleze.

halafu uanze kunilipa na madeni kabisa. nshaona dalili mbaya. michango ya rambi rambi ntakusanya mm. nipe namba ya kisura ntmrushia kwa empesa.
 
Mhhhhh! She is not a "wife material" but he is in your pussy more than 7 times a week!!!!

 
Last edited by a moderator:
Hivi kuamka ni kuwa umesimama au kujua nini kinaendelea!!!!!????????
Umeamka kweli!!!?????

mada si inasema ladies wake up,ni kujua nini kinaendelea and how to deal with it...
Mi nimeamka tayari,si kama zamani
 
hlo ndo tatizo besty,mtu na we una mahitaji na mtoa tiba unaemtaka ndo huyo tu..
Atlst mtu usiwe too blind hadi kujitegesha mimba for him wakati unaona hana nia na wewe

sawa mama nitakuwa naruika akikaribia
 
kitu nimejifunza, kuna rate ya abortion kubwa sana zaidi ya watu wanavodhani... wadada kuna morning after pills basi kama mmeshindwa kabisa kutumia calendar, condoms...

hivi hazina side effect hzo?..
 

yah sure,ukiona we ni mkweli basi jua mwenzako anakudanganya..
Af fibbed manake nini eti...
 
Last edited by a moderator:
Too much of anything is harmful, ndio utamsikia mdada anapata mimba na baada ya miezi mitatu tu inachoropoka labda nyumba ya ujauzito inakuwa so delicate hivyo kukosa uimara wa kuhifadhi ujauzito kwa zaidi ya miezi mitatu.

hivi hazina side effect hzo?..
 
hivi hazina side effect hzo?..

Side effects zipo ila sio serious kama watu wanavo-exaggerate mtaani.. (wana exaggerate huku wao wanatumia)
1. Wapo wanaojisikia uchovu au kichwa kuuma kwa mbali na wengine pain kwenye mgongo au breasts zinasimama na kuuma kwa mbali, na hii inatokea mara chache sana, and its normal na ni kitu ndani ya siku moja kinaisha..
2. Wapo wengine wanaweza kupata bleeding, na hii si ya hatari, ni small bleeding and am sure bleeding kwa wanawake ni kitu cha kawaida, si bleeding ile kwamba labda kuna matatizo kwenye uterus hamna, ni bleeding tu kwa kua hii pill inachofanya inajaribu kuprevent yai ambalo limekua fertilized kukaa kwenye uterus ambapo litakua na kuform mtoto(ndivo inavofanya kazi kuzuia mimba)
3. Wengine hupata period yao siku mbili hadi tatu mapema inavotakiwa, kwa hiyo ina-affect calendar...

Note: hizo effects zote ni kwa wanawake wachache, say 2-3 out of 10, wengine hua hawa-experience anything...
 
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,



Picha hapo juu ni ya movie inaitwa "The Da Vinci Code" ambaye main actor anaitwa Tom Hanks (anayeonekana kwenye cover hapo)

Ukiiangalia hii movie utakubaliana na mimi kuwa T. Hanks ameitendea haki hii movie na ameiact vyema.

Kwa kuiangalia movie hii hutakuwa na makosa kummwagia sifa lukuki Hanks kwa uchezaji wake.

That is until utakapokuja kugundua kuwa movie hii imetokana na kitabu cha Da Vinci Code ambacho mwandishi wake ni Dan Brown ambaye kiuhalisia (licha ya Tom Hanks kuicheza vizuri movie hiyo) ndiye aliyestahili sifa lukuki kwa kuandika kitabu chenye ubora wa namna hiyo.

My point is, beware, si kila script unayoiona uka-conclude ni movie script. Some (and actually just one) are the original writings by the authors. It just hapenned ulianza kuangalia movie kabla ya kusoma kitabu.

Men are liars..but not all. Just as there are so many actors and very few say directors or book writers. Na hili linahitaji wisdom from above kuling'amua sio ujanja wa mjini au experience mia...la sivyo ungekuta kina lara 1 wana ndoa miaka kumi saivi (no pun intended).

NB: Shem, mzima wewe!??


Cc: The Boss na mpwa Elli
 
Last edited by a moderator:

amen...
 

oa umwache aende wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…