Teh nshapropose mahali nkaishia za uso "usinishurutishe" he he he
mmmh nikakoma sirudii tena mie, ila ahsante kwa ushauri!!!!!!!
Hahahahahahahaha lara 1 umenichekesha sana! Ila muda mwingine kuuliza ni muhimu maana unaweza kusubiri sana kumbe mtu ana kufanya stand yake kumgoja mwingine!
Pengine mtu ana kuwa hajarizishwa nawe lakini wengine kumwambia mtu ni ngumu sasa ana subiri ukitaka kuuliza kuhus wedding ndio ana kwambia hawezi kukuoa!
Ni bora kujitoa muanga na kuuliza hatima yako! Inasikitisha sana miaka 6 alaf una wekwa pembeni!
Mbona si tukiwatongoza huwa mnatutukana kwanza halafu baadaye huwa mnakubali? Na nyie vumilieni, mtafanikiwa. Mkisubiri hadi mfike 30's ndo mwanzo wa kubebwa na yeyote maana ukishakuwa desperate na uwezo wa kuchagua unapunguaTeh nshapropose mahali nkaishia za uso "usinishurutishe" he he he
mmmh nikakoma sirudii tena mie, ila ahsante kwa ushauri!!!!!!!
oooh pole sana Evelyn Salt!
Mbona si tukiwatongoza huwa mnatutukana kwanza halafu baadaye huwa mnakubali? Na nyie vumilieni, mtafanikiwa. Mkisubiri hadi mfike 30's ndo mwanzo wa kubebwa na yeyote maana ukishakuwa desperate na uwezo wa kuchagua unapungua
Hahahahaaaaaaaaaaa! Akufukuzae hakwambii Toka!!!!!!!!!
lara 1, mabinti wa hivi wananikera sana. Unakaa miaka sita na mtu ukisubiri nini?
Kwa mtu anayejitambua hata miaka 2 ni mingi sana.
Halafu tatizo jingine la wadada wa kileo ni kutoa full menu unconditionally!
Umeonaaaaa eeeeeh! Mwanaume anaona kama anaweza pata lita zake mbili za maziwa daily amiliki Ng'ombe wa nini????/ Ndo anakugeuza kiburudisho chake weee, hadi ustuke au akuchoke mwenyewe!
Bora uulize upewe makavu live mapemaaa! Kuliko kungojea jambo ambalo halipo! Hivi kwanini wanaume mnakatabia ka kutufanya stand ya kungojea the one awasili?
kwanza ni kutoe wasiwasi si wanaume wote wanafanya hivyo!
Ukiona unafanyiwa hivi ujue jamaa hana mpango nawewe!
Lakini cha kujiuliza kama hakuna ka uzembe kwa msichana haiwezekani una kaa na mtu miaka 6 hujui hatma yako!
Sasa 6 yaers upewe proposal afu useme No!!!!! Kweli!!!!!
bora umemshtua, angeshangaa jamaa anamletea kadi ya harusi..
Funzo kwenu wadada kwa hii habari if you feel its time definately, na mwenzio kajikausha PROPOSE YOUR SELF!!!!! Kukaa kimya unaweza kujikuta unangoje Somethin that is never commin! Heri ujue mapemaaaa! Utajua endapo tu utapropose! Being nice n waiting in vain is soo 90's. 2years zinatosha kuwait in vain, then play the S.lut card and propose ili ujue hatma ya your future!!!!!!!!!!!
Nangojea mpambano wa hoja!!!!!!!!!
Jamani we are living in difficult times now, especially for us ladies! Kama mjuavyo hii ni January so kila mtu ana mikakati yake binafsi na goals zake anataka kuachieve! Binafsi sina mkakati wowote ule hadi mda huu! I let the future Surprise me and my destiny amaze me!!!!!!!
Its not fair at all kwa kweli! You want to spend the rest of your life with somebody and they wanna spend their lives with somebod else too!!!!!!!!
Inauma sanaa after 6 years of stable relationship you go back to ground zero!!!!!!! The dating games!!!!!!!