Bin Faza
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 502
- 191
Jamani poleni na kazi
sasa kila siku kila sehemu husikia ladies first, na mimi huamini kuwa ndio hivo na wao wanajidai kuwa wao ndio wapewe nafasi ya kwanza katika kila sehemu na kila wakati...si vibaya kwa hilo labda wanawake wako bize zaidi ya wanaume
lakini ukitoka na mwanamke huyo huyo na ukifika wakati wa kulipa hela....inakuwa ladies last, midume ndio inayotakiwa kulipa
vipi hii wakuuu? si tuendeleze tu ladies first