Ladies, are we the cause of our husbands cheating? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Salma osman, Oct 28, 2011.

 1. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am asking this coz most of the time if a husband cheats he will blame his wife.

  He will say that his wife shouts at him even a small mistake or sometimes he will say that his wife doesn't care the way she use to care when they first met.

  So, is true?? And if it is true what are we suppose to do to make our marriage life to be good and to avoid blame???
   
 2. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  human beings always look for somebody else to blame for their mistakes
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  No I have never been, am not and never will be.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sio kweli!
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yaani mtu anaona matope anayafuata akisha kanyaga akateleza aje aseme wewe ulimsukuma?
   
 6. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u mean sio ukweli?
   
 7. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah thats happen
   
 8. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Kati ya mtoto na mume unachagua ku-care zaidi nani?

  Imefika wakati wanaume wajue kuwa kibaiolojia wanawake wanacare zaidi offspring kuliko mates. Na bila hii basi dunia haitakuwa na kizazi bora kiafya na kimaadili (especially hadi kwa umri wa kupevuka ambapo tunadhani kuwa watoto wanaweza kusimama wenyewe).

  Wanaume acheni kulia lia (and be responsible kwa mistakes zenu - hujaoa ili kuwa taken care of bali kujenga na kuendeleza familia) - honeymoon haiendelei milele. Wanawake timizeni wajibu wenu kwa familia, akicheat mumeo it is his problem and not yours.
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wanaume kuamua kucheat ni tabia tu na maamuzi ya mtu mwenyewe maana wapo wanawake wanaangaika na waume zao mpaka raha lakin bado mijanaume ipo bize tu nyumba ndogo
   
 10. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hamna wengine ni tabia zao 2,kuna wengne ukiwauliza mke wako ana tatizo gani kwa nini unataka kumcheat anasema hana tatizo nimekupenda 2,ukimuuliza upo tayari kumuacha uwe na mimi 2 anasema hapana,sa huyu si tabia yake 2?wengne pombe ndio tatizo?wengine eti wanategwa na wadada wanaowapenda?kuna mwingne anacheat lakini anajua nimpendae ni mke wangu 2 sa huyu umuweke kundi gani kama si tamaa,men are complicated,wengine eti ni kujionyesha wao eti ni wanaume,ngoja wale wanaume wanaocheat waje hapa?ila wengne kweli wanawake ni wajeuri ila wachache
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Do you cheat when he makes mistakes? we should stop blaming ourselves for their mistakes!
   
 12. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio kweli ni udhaifu wa huyo mwanaume mwenyew.Kuna watu wanapata care zote lakini bado atatafuta hizo nyumba ndogo.
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Khaaa!!! (am directing it at the fact kua you are now a moderator....lol)
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  tamaa zako umlaumu mkeo? Ebo!
   
 15. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sometimes it is true but not all the times, excuses are there to be used.
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  We jibu swali bwana, acha kuchakachua thread. this is a serious question! lol
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  lol.................
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Status yako still has me on hooks.... Sorry alter will come back to the topic later!! lol
   
 19. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  aibu!!!
  wen it coes to cheating many a various facctors play a role and the number one is the right selection of a mate
  unajua marriage is a partnership na mie napenda kui-compare na football team where there is the manager and the players...this is a partnership na ili timu iweze kuwa champion lazima uwe na kocha mzuri na wachezaji wazuri both interms of talent and character. so the recruitment of both is paramount.....that said pia ili ndoa iwe successful ni lazima uchagu mke wenye sifa za mke wena na mume wenye sifa nzuri.

  sasa the number one spot to start ni kwenye record ya huyo partner who is going to be future husband....je nimpenda wanawake? je alishakuwaga na various relationships huko nyuma na ziliishje....get to know the character of the person na pia usichukulie maneno yake tuu. wachache wanawza kuwa wakweli kuhusu their faults.

  second coause ni circumstances....na hapa ya kwanza kabisa ni lond distance relationships au mke/mue kwenda masomoni.....lazima ukubali kuwa mwenzi wako ni binadamu na pia anatamaa...sasa kwa kuwa mbali unajenga azingira ya wenzi wako kuwa katika vishawishi na mwishi wa siku we need tender loving care na kwa sababu haupo basi atachukuwa huyu anayeonyesha kucare wakati wewe upo far away!!
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,731
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  I see!!! So that's how you guys reason? Veeeeeeery interesting.
   
Loading...