Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

aibu!!!
wen it coes to cheating many a various facctors play a role and the number one is the right selection of a mate
unajua marriage is a partnership na mie napenda kui-compare na football team where there is the manager and the players...this is a partnership na ili timu iweze kuwa champion lazima uwe na kocha mzuri na wachezaji wazuri both interms of talent and character. so the recruitment of both is paramount.....that said pia ili ndoa iwe successful ni lazima uchagu mke wenye sifa za mke wena na mume wenye sifa nzuri.

sasa the number one spot to start ni kwenye record ya huyo partner who is going to be future husband....je nimpenda wanawake? je alishakuwaga na various relationships huko nyuma na ziliishje....get to know the character of the person na pia usichukulie maneno yake tuu. wachache wanawza kuwa wakweli kuhusu their faults.

second coause ni circumstances....na hapa ya kwanza kabisa ni lond distance relationships au mke/mue kwenda masomoni.....lazima ukubali kuwa mwenzi wako ni binadamu na pia anatamaa...sasa kwa kuwa mbali unajenga azingira ya wenzi wako kuwa katika vishawishi na mwishi wa siku we need tender loving care na kwa sababu haupo basi atachukuwa huyu anayeonyesha kucare wakati wewe upo far away!!
Hapo in red sikubaliani na wewe kabisa. Ni kitu gani mimi naweza kuvumilia yeye ashindwe? au unataka kusema hata mwanamke hawezi kuvumilia akiwa mbali na mume wake? tusiendekezi matamanio ya mwili, sio njaa eti ukikosa kula utakufa... Na discourse kama hizi zinawapa wanaume kiburi chakusema: hata nyinyi mnajua mwanaume hawezi kuvumilia. Wanaweza sana tu.
 
Sio kila anaecheat mke/gfriend wake anakuwa sababu,wapo ambao kweli inakua sababu lakini wengi wanajaribu kuwalaumu walio na mahusiano nao ili wajisikie vizuri,hilo linatokana na mambo mengi,sisi wanaume wakati mwingine huwa ni wababe sana,unafanya ujinga wakno huko halafu unamlaumu mkeo,hii sio sawa kabisa,kwa wale wanawake ambao wao ni tatizo mnatakiwa mjirekebishe,tafuta tatizo kisha litatue kwa amani!
 
Am asking this coz most of the time if a husband cheats he will blame his wife.he will say that his wife shouts at him even a small mistake or sometimes he will say that his wife doesn't care the way she use to care when they first met.so is true?? And if it is true what are we suppose to do to make our marriage life to be good and to avoid blame???

There are two types of cheating, long lived one and 'hit and run (Asha Dii quoted).

For the first one, wives have partial of it to be blammed, but mostly its due to men weaknesses. For the second one, wives have even less less part of the blame, although this is not associated with weakness in men..
 
A person, male or female, can feel like looking for love elsewhere because his/her partner doesn't behave the way (s)he should, yes, but that's not the only reason that can lead to unfaithfulness. So, no, you shouldn't generalize and say that "women are the cause of their man's unfaithfulness", as every case has to be treated individually.

Also, just because a man blames his wife for his unfaithfulness does not mean his wife truly is the one who deserves the blame. As Nehondo previously said in this thread, it does often happen that people blame others for mistakes they're responsible for. Nobody finds it agreeable to acknowledge their weaknesses and recognize that they're at fault, do they?
 
Kuwa makini sana na excuses, hata wewe mwenyewe unapoanza kutoa excuses jichunguze,
lazima udanganye. na ilianza na Adamu na Hawa.

Kwanza. Baada ya Mungu kumtokea Adamu na Kumuuliza kwa nini kala tunda alilomkataza,
Adamu akamrudhia mpira Hawa, akasema, "si huyu mwanamke uliyenipatia ndo kanipa"
Then, Alipoulizwa Hawa, na yeye akarusha mpira ooh! 'Si huyu nyoka..""

Ndo maana haka katabia kako damuni.
 
Umemaliza. Manake atheist pia wanasema hakuna mungu bali hiyo ni image ambayo wanadamu wamejitengenezea ili kupata wa kumlaumu kwa misery zao. Non existence theory...
human beings always look for somebody else to blame for their mistakes
 
Nacheeeeekaa kweli kweli! Wanaume wana msemo wa kuwa wanatafuta the right women na women wanatafuta the right men... Hoja yangu hapa ni kwamba kama kuna blames na visingizio when ones cheat, jua kuwa one of you is not the right person kwenye hiyo ndoa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom