hebu angalia mitindo hiyo nadhani utafurahia hapo mmojawapo
View attachment 105029
hivi hapa mjini unashonea wapi nguo wakunyumba? yaani mie fundi wangu alifariki masikini, kuna wale mafundi wa njiro nilielekezwa kufika pale wana nyodooo nikasema pesa yangu hii naitafuta kwa jasho ati wala sikushona tena.
wakwetu......hapa nikishapata mshono.....nije tena kuomba kuelekezwa fundi.......haya mambo ni wito ujue........
Lol, mpaka ushone hiyo nguo tutakoma walah, hahaha, kuna fundi nimemjaribu bado sijaichukua nguo mpaka jmosi kama atakuwa amenitendea haki ntakushtua uende hapo coz na mie alienitambulisha kwa huyo fundi hicho kitenge alichokuwa amekivaa siku hiyo kilikuwa motooo haswa, tutajulishana wakunyumba.
afadhali ufanye hivyo........mimi kutandika fundi ni dakika.....hasa akinitenda.......nitasubiri wakwetu......
halafu.....wapi wanauza vitenge vizuri original......?....mbona mtakoma.....mpaka kitenge kishonwe....mtajuuuuuuta kunifahamu.......
Huo vip? Nahisi body yako ni kama huyu
Ilitokelezea balaa.......nitakuletea picha PM..........
picha tafadhali tuone shepu yako.......khe kumbe ni dada preta vaa mshono wa nguvaMwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......
samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie nitaadhirika.......
NB....HATA WANAUME MNARUHUSIWA KUIBIA MISHONO YA NGUO ZA WAKE ZENU MKANILETEA...........
Shepu tu ndio unataka kuona..........?