ah wako huo ni muranno shosti!
wacha kabisa!
ahahahahhah basi huo wako noma!Ujue nimetoka kuufanyia waxing weekend tu?
Ni ferari kabisa
ahahahahhah basi huo wako noma!
hv zile baisikeli za zaman zilikuwa zinaitwajee ,
ukishapata jina basi huo ndo wangu!
sasa mwambia watu8 kabisaa anavonitaftia mshono ahakikishe analizingatia hilo!
mi staki kuwafanya watu waikumbuke xhinua ya enzi hizo
Bora wewe una swala
King'asti anajiburuza chini, hana miguu kabisa
Hii nzuri rekebisha nyuma tu
ndugu yangu....wacha tu........hii namba 1.....imeingia kwenye droo.........
Kweli.......? sidhani........hebu niambie........