Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
niambie size ya kiuno chako kwanza ni aina gani?Mwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......
samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie nitaadhirika.......
NB....HATA WANAUME MNARUHUSIWA KUIBIA MISHONO YA NGUO ZA WAKE ZENU MKANILETEA...........
Namba 1 kama hujafungashia haikufaindugu yangu....wacha tu........hii namba 1.....imeingia kwenye droo.........
Dr....nimeonelea hii hapa.....nitumie kifua cheke kwenye hii hapa.........wewe unaonaje.......
Huu mzuri sana
huu hapo mbele panahitaji marekebisho.......paweje sasa.....ndio mtihani......