Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,659
- 870,344
- Thread starter
- #61
Ndoto maono kuna jambo kubwa la kheri linakujia lakini likiingiliwa na nguvu hasi linaweza kuleta matokeo tofautiUsiku wa kuamkia leo nimeota ninafunga kamba za viatu vya mtu wangu wa karibu hii ina maana gani?
Imebidi niulize kwa msaada maana nimekuwa naota ndoto nyingi na zinatokea kwenye real life