Ladha yangu, undani wangu, uhalisia wangu

Ladha yangu, undani wangu, uhalisia wangu

Hapo tunazungumzia | POWERTRAIN

Engine6,2 l V8
Power808 hp @ 6,300 rpm (603 kW)
Torque717 lb·ft @ 4,500 rpm (972 N·m)
InductionSupercharged
Fuel typePremium
Transmission8-speed automatic
DrivetrainN/A
0 - 209.3km/h in 9.6 SECONDS
ina haki kwa kweli
 
Hapo tunazungumzia | POWERTRAIN

Engine6,2 l V8
Power808 hp @ 6,300 rpm (603 kW)
Torque717 lb·ft @ 4,500 rpm (972 N·m)
InductionSupercharged
Fuel typePremium
Transmission8-speed automatic
DrivetrainN/A
0 - 209.3km/h in 9.6 SECONDS
Kama huna channel na mkondo wa za tozo...utashia kupiga nayo picha
 
Cha kusikitisha sio watunzaji unaweza kuikuta sasa hivi ni kama ilitoka mwaka mmoja au miwili nyuma kwa namna walivyo wafujaji.
Nadhani na miundombinu ya kwao inachangia pia..niliwahi kuwauzia Ford Explorer V8 kwa 15M mwaka 2006 wakati hapa bongo mpaka 4M wadau walichomoa
 
Yeah na hawa wanaunafuu kwenye kuyahudumia, mfano hiyo BMW X6 alikuwanayo jamaa mmoja wa miaka hiyo nilikuwa naiona kwake tuu ikiwa na namba B.

Na jamaa ni wa clearing najua Mshana Jr atakuwa anamfahamu tuu.
Hebu mtaje herufi za mwanzoni
 
Nadhani na miundombinu ya kwao inachangia pia..niliwahi kuwauzia Ford Explorer V8 kwa 15M mwaka 2006 wakati hapa bongo mpaka 4M wadau walichomoa
Na miaka hii nasikia baadhi ya barabara wamejenga hasa jimbo la katanga.
 

Mitsubishi EVO
- Power with Beast sound



1352464.jpg
1352504.jpg
1352518.jpg
 
mpira wanaoupiga rangr rover hauna tofauti na ule unaopigwa na Apple.

ni mwingi mno.
Mungu bariki kazi ya mikono yangu ije inipe zawadi hata ya range ya 2005 tu.
 
Back
Top Bottom