Aina?
Bei unanunua mkoa kbsTatizo bei[emoji23]
sema tawireTuko namba E eeh.. Na inakimbiza mbaya.. Sidhani kama F itanikosa..[emoji1545][emoji2827]
Bongo haifai hii[emoji24] kwanza hawaijui[emoji1][emoji1550]BMW VB-X6 VANTABLACK - The Black of Blackest
Bei ya rangi tu inatosha kununua BMW X6 nyingine
View attachment 2346994
View attachment 2346996
View attachment 2346997
View attachment 2346998
View attachment 2346999
Bongo haifai hii[emoji24] kwanza hawaijui[emoji1][emoji1550]
umenigusa mdau...
ile iliuzwa milioni 100 eeh?Hilo Chev la juu lilikuwepo bandarini linauzwa kwa mnada kuna wakongoman wakajilipua nalo
Hapo tunazungumzia | POWERTRAINumenigusa mdau...
hii engine inakamlio kakipekee sana!
| Engine | 6,2 l V8 |
|---|---|
| Power | 808 hp @ 6,300 rpm (603 kW) |
| Torque | 717 lb·ft @ 4,500 rpm (972 N·m) |
| Induction | Supercharged |
| Fuel type | Premium |
| Transmission | 8-speed automatic |
| Drivetrain | N/A |
Kuna siku ilivyorudiwa nilikuta ipo kwenye 100, wakongo🙌🏻 haya ndio mambo yao aisee.First bid ilikuwa 70 kwa vyovyote iligonga 100
Na waarabu wanapenda kusukuma vitu vizitoKuna siku ilivyorudiwa nilikuta ipo kwenye 100, wakongo🙌🏻 haya ndio mambo yao aisee.