GREAT NAME JF-Expert Member Aug 31, 2016 1,068 1,643 Jan 10, 2017 #1 Jaribu kulamba,uniambie ina ladha gani,nasikiaga wanasema tamu kama asali ila sina uhakika.
bbc JF-Expert Member Jan 18, 2016 3,836 4,145 Jan 10, 2017 #2 Ya nini kusikia sikia? Hebu lamba halafu urudi kutuambia ladha ikoje.
Rais2020 JF-Expert Member Jul 14, 2016 3,248 5,537 Jan 10, 2017 #3 Nilishawahi kuilamba kiukweli ni tamu sana
N ndayilagije JF-Expert Member Nov 7, 2016 7,491 8,300 Jan 11, 2017 #4 Waongo.ni chungu balaa usionje bila kutia sukari na mafuta ya taa.
goldie ink JF-Expert Member Oct 6, 2016 5,634 9,140 Jan 11, 2017 #5 Under 20 Kumbe wewe bado mtoto wa mama.... Teh teh teh teh..