Umemaliza kiongozi,I think wakuhukumu hapa ni Mungu na sio mtu tena kwa sababu wote mnakuwa mmetenda dhambi ila kuna mtu hapa yupo likely kuhukumiwa kwa dhambi nyingi zaidiMleta mada, mimi siamini kuwa machozi yake(yao) yatanipa laana, kwa sababu;
1. Mbele za M/Mungu tulifanya dhambi ya uzinzi, ngono na uchafu ambao Mungu hapendi.
2. Tulitenda dhambi ya uongo wote (mimi nilimdanganya, nae kadanganya kwa Mungu)
Hayo yaliyokupata ni sehemu ya maisha tu (ups and downs) na wala haihusiani na kumdanganya au kuchezea mwili na hisia zake. Mwanamke wa kweli hachezewi mwili coz anaitambua thamani ya mwili wake, the worst you can do ni kuchezea hisia. Mwanamke/mwanaume anayechezewa mwili ni mjinga mjinga tu..
Hahahaha hapana chezea mama Brenda,kisiki cha mpingoyani kama mimi usinisogelee kabisa sinaga presha ukiwa umejipanga kunichezea utajichezea mwenyewe.....wanarudi wanalialia ila cha moto wamekiona
Nahisi kwamba nawe umejifunga. Huna raha mpaka umwone ameumia! Mwachilie, msamehe, msamehe kabisa. Utaona raha kubwa. Usijali kama ataenda mbele au atarudi nyuma. Wewe mwombee kwa Mungu kwa kumsamehe kabisa. Utajifungulia milango mingi zaidi.Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Exactly..hakuna haja ya kumbeba mtu moyoni...samehe huko aliko ili nawe uwe na aman moyonI na upate nafasi ya kuweka mwingine...nisipomsamehe itanisaidia nn...mangapi namkosea Mungu na ananisamehe..mimi ni nanI ht nijibebeshe mizigo ...akhaaaaaaI can feel you on this.. It hurts so much... But let him go so God can use you more ..Thanks..
Mkome kung'ang'ania mahala pasipo kwenuu...! Tamaaa hizo..Very true . I'm a witness on this.. Thanks..
Dear I will pretend that I didn't see this.. Thanks.Mkome kung'ang'ania mahala pasipo kwenuu...! Tamaaa hizo..
Mkuu nakukubali kwa kimombo chako cha wabeba boxGreat message. Just, karma knows no gender. Once you're on that puta's list, you'll get served, male or female.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hakyanani sijui nilioshewa nini utotoni, halafu huwa nasamehe kabisa na kusahau ila wanakuja wenyewe na magoti juu...chaa pole yaoHahahaha hapana chezea mama Brenda,kisiki cha mpingo
Nisamehewe tuu nanaomba huyu mwanaume apate pigo la maisha hadi ajue kweli macjoz yangu na mwanangu tumboni mungu anatusikia!!!Habari za wakati huu ndugu na marafiki wapendwa wa JamiiForums....
Ni siku nyingine tena tulivu ikiambatana na manyunyu ya hapa na hapa pale kwa sisi wakazi wa Dar......
Leo ningependa kuwashirikisha katika jambo muhimu sana ndugu zangu ambalo hata mimi binafsi ninaweza kuwa shahidi kabisa....
Kuna kipindi nyakati za nyuma kidogo nilitokea kumtamani binti fulani hivi ambaye tulikuwa tukiishi nae karibu na nilipokuwa nikiishi mimi kusema ukweli huyu mimi sikumpenda isipokuwa nilikuwa namuhitaji kwa ajili ya kukidhi matakwa yangu ya kimwili, kutokana na ushawishi mkubwa nilifanikiwa kumnasa yule binti na tukaanza kushiriki ngono huku yeye akijua kuwa mimi ndiye mumewe mtarajiwa yule binti alikuwa ni binti mwenye kujitegemea maana alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni fulani kubwa hivi ya kigeni kwa hiyo suala kipato alikuwa tatizo kwake alichokuwa anakihataji ni mapenzi au mume ambaye aliamini kuwa ameshampata.....
Baada ya kukidhi haja zangu nikaanza kumkwepa kwa maana nilimuona kama ni kero vile kwangu, yule dada nilimpa wakati mgumu sana kwa mabadiliko yale na alikuwa akilia mbele yangu mara kwa mara akinisihi nisimuache lakini mimi sikuelewa lolote lile,yule mwanamke akakata tamaa na akaamua kuachana na mimi lakini alinitamkia maneno mazito sana kuhusu maisha yangu ambayo nilianza kuyaelewa maana yake baada ya mwezi kupita tangu kukata mawasiliano naye......
Niliona ghafla mambo yangu yanabadilika na kuwa mabaya kabisa biashara zangu nyingi sana zilikwama mpaka nikawa nakosa hata hela ya kula ile hali ikanishtua sana maana haikuwa kawaida ikabidi kuahangaika katika mambo ya kiswahili ndipo wataalamu waliponifunulia kuwa kuna mtu ana kinyongo na wewe kwa hiyo unatakiwa ukamiombe msamaha maana ndio njia pekee ya wewe kuondokana na mikosi hiyo maana hakuna aliyeniroga.....
Ikanibidi kwa unyonge kabisa nijipendekeze kwa yule binti na kuanza kujenga naye ukaribu upya na kuomba misamaha mingi sana....
Baada ya muda nikaona mambo yanaanza kubadilika na kuwa kama kawaida.....
N:B Dhumuni la mimi kushare kisa hiki ni kuwaasa vijana kuwa kama mwanamke huna mipango naye ya muda mrefu basi usimpotezee muda wake bure maana utamuacha na sononeko ambalo litakuletea mikosi kwenye maisha yako wapo vijana wasomi wanaohangaika kutafuta kazi takribani miaka kumi wapo vijana wanaojaribu kuanzisha biashara zao lakini huwa zinakufa wapo vijana wanaofukuzwa kazi katika mazingira ambayo hata yeye hawayaelewi hizi ni moja ya athari za watu waliokuwa na vinyongo na wewe.....
Shtuka kijana
Ubarikiwa sana, ipo mijanaume haijui hilo, namuombea kila baya limuangukie!!! Hawezi kubipotezea muda na kutuacha Kisa kwenda ng'ambowanawake tunapaswa tuwaheshimu sana.
Bwana mdogo kuna hilo. Lakini lingine ni kiwa tunapotafuta wenza wetu huwa tunaweka.masikhara pembeni. Mwanamke wa kumwoa ni yule analeta rizki kwa maana ya upepo na utakula mbingu hapa hapa duniani. Mwanamke huyu kama.ulivosema akikuombea kwa.mungu basi mbingu inafunguka..akitoa machozi mbingu zinafunga....mheshimu sana huyo mwanamke kwani ndoa hufungwa peponi..
Kwani huyo mwanamke anatoka mbiguni
Kwa kauli yako hii Basi Nyani Ngabu atakuwa mtoto wa malaika manake ana sura mbovu ka nyani kaonja ukwaju.Wanawake wengi warembo ni watoto wa shetani...nuksi tupu...au hawana kibali chochote mbele ya mungu kukubariki....mara nyingi ukiingia hapo basi hata kile kidogo ulichonacho kinapotea...
Katika masuala ya mahusiano mwanaume ndio muanzilishi....ni agharabu sana kwa mwanamke kumtongoza mwanaume ingawa hutokea....Mleta mada, mimi siamini kuwa machozi yake(yao) yatanipa laana, kwa sababu;
1. Mbele za M/Mungu tulifanya dhambi ya uzinzi, ngono na uchafu ambao Mungu hapendi.
2. Tulitenda dhambi ya uongo wote (mimi nilimdanganya, nae kadanganya kwa Mungu)
Hayo yaliyokupata ni sehemu ya maisha tu (ups and downs) na wala haihusiani na kumdanganya au kuchezea mwili na hisia zake. Mwanamke wa kweli hachezewi mwili coz anaitambua thamani ya mwili wake, the worst you can do ni kuchezea hisia. Mwanamke/mwanaume anayechezewa mwili ni mjinga mjinga tu..
Pole sana dada yangu....Mungu humzidishia baraka yule mwenye kusamehe.....kuendelea kuhifadhi hasira kifuani mmwako ni sawa na kushikilia kaa la moto....maana yake kabla ya kumrushia mtu limuunguze kwanza linaanza kukuunguza wewe......samehe uone jinsi gani kama umezaliwa upyaa.....Nisamehewe tuu nanaomba huyu mwanaume apate pigo la maisha hadi ajue kweli macjoz yangu na mwanangu tumboni mungu anatusikia!!!
Huwezi kujua kuwa dunia ina mambo mpaka likukute jambo....Mambo kama hayo hayapo,huo ni uongo na uzushi, ni mambo tu ya kiswahili kupenda ushirikina na uchawi ambao kiuhalisia haupo.
Yani mtu awe na kinyongo na wewe mganga ndio ajue kua kuna mtu ana kinyongo na wewe? Sema unataka tu kusema hua unaenda kwa waganga wa kienyeji ila mambo kama hayo hayapo.
Machungu ninayopitia anajua mungu pekee, na mwanangu àliepo tumboni, ndio màana naomba lolote baya juu yake nae aumie, japo haitofikia maumivu yangu hata theluthiPole sana dada yangu....Mungu humzidishia baraka yule mwenye kusamehe.....kuendelea kuhifadhi hasira kifuani mmwako ni sawa na kushikilia kaa la moto....maana yake kabla ya kumrushia mtu limuunguze kwanza linaanza kukuunguza wewe......samehe uone jinsi gani kama umezaliwa upyaa.....