Laana ya mwanamke

"To forgive is to set a prisoner free and discover that the prisoner was you"
 
Hii mada imenifurahisha sana, binafsi siamini kama kuna laana yoyote sanasana wote mnachukiza Mungu kwa uzinzi tu. But on the positive side inawezekana mtu akiondoka Mungu anakuwa amekuandalia mipango mikubwa zaidi.
 
Usichukie kiasi cha kumtenda Mungu zambi, ipo kitu Mungu anakuepusha unapoachwa na mtu uliyempenda, kama siyo mpango wa Mungu hata ulazimishe vp haiwezi kuwa, God's plan is the best
 
Somo kuntu
 
Pole sana aisee he was playing with UA feeling yani pamoja na kubeba kiumbe chake hakuwa na huruma nawe
 
Dah! Sijui huyu mwanamke wangu nimuache vipi maana kiukweli anamapenzi makubwa sana juu yangu ila sina hata future naye maskini!
Bora umuache kwa amani tu upunguze mazoea taratibu ila kumuacha kwa kujifanya mjuaji wala ujiandae tafta namna umpe ukweli kuwa huna future naye
 
Pole kwa yaliyokukuta.....i hope ulisamehe....
Tena bora sisi wanamume ni wachache sana wanaoweza kukutolea kauli hizo wengi hupuuzia na kusahau ila wanawake sio wote bali wengi duh utajuta hapo kasema tu hajaacha shughuli zake na kukuendea kwa matunge(mganga)jasho litakutoka.
 
Mwanamke ambae tumefanya dhambi ya uzinzi hawezi kunipa laana mama yangu ndio wa kunipa laana sio hawa ambao tunakuwa kwenye mapenzi ya tamthilia
 
Umewahi kujiuliza kwanini wajane ni wengi kuliko wagane!
Ni machozi ya wanawake yanawamaliza wanaume
 
Hawa ndio miungu yetu ya duniani. Once akikunja for a good reason hufanikiwi milele..
 
kweli
si vizuri mtu akatoa machozi kwa sababu yako,iwe ni mahusiano,kudaiana,dhuluma au chochote kile coz machozi ya mtu huwa hayarudi bure, thnx kwa somo
Kuna wengine hudiriki kusema "MACHOZI YA SAMAKI..!"
 
Yaani hapa tusi tishiane kabisa mi naamini hakuna laana ya mpenzi
 
cha muhimu ni kuwa wazi wkt mahusiano yanaanza kama ni sex only au sex plus mahusiano
 
Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Mwee
 
Ni kweli usemayo,hakuna kitu kinauma kama kupotezewa muda jamani, umejitunza na kuwakataa wengine wenye nia afu mtu anakuacha hewani gafla,uwiii.... Mungu niepushie isinitokee tena
Kwani wanaume hatupotezewi muda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…