Laana ya Mapenzi .....

wakati mwingine kwenye familia mnakuta kuna wenzenu,hawajtulia mpaka mwajiuliza hizi tabia wamezizoa wapi hawa,sasa ukianza kuchunguza,wakuja kugundua kishipa kinatesa familia,matendo maovu ya wazazi wetu kama hawakutubia hayawezi kutuacha salama.Asili ya kishipa hakiwezi kutuacha hivi hivi isipokuwa kwa toba peke yake. Unakuta kijana starehe yake kuwaingilia kinyume na maumbile kina dada,kesho na keshokutwa huyu mtu anakuja kuwa mzazi,malipo yake huyu mtu ni hapa hapa dunian kwake na kizazi chake.
 
ha haha ndiyo ila now si ameokoka anatupiga somo nakutukumbusha tunalolifanya ni vizazi vinne ndiyo litaisha basi ukitoka pale unawazaaa wewe baadae unasahahu tena
Kwa hiyo na uzinzi umeacha kabisa?[emoji12]
 
tujichunge mkuu,ipo siku vizazi vyetu wakitumia JF hii hii watakuja kufukua uzi huu na,watatumia keyboard kutulaani kwa kuwatendea visvyo
 
Ipo siku iyo kawaida itabadilika na atajua fika kwamba hii ni laana.....
Hivi vitu huwa havimwachi mtu salama eti

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitu hata kama huviamini just take yo time uangalie familia yako tu, kuna jambo baya utakuta linajirudia ktk ukoo wenu, utajua tu something is wrong somewhere. Basi chukua tu hatua mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…