Laana tuliyopewa WANAUME

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Laana pekee tuliyopewa na Mungu ni ile ya kula kwa jasho
sasa hii ya kugeuza shingo tuonapo WANAWAKE.. tumejitakia wenyewe siyo mpango wa MUNGU.
Jamani Mungu atusamehe.
 
Tunakuwa tunasoma Plate number za gari kutoka China na Marekani. Sunajua tena utandawazi umekuja na mambo Mengi. Brands ni Mpya Mpya tu
 
Ni mazoezi tu ya shingo zetu kuzuguka angle (360)., mzunguko wa angle (180) haututoshi., Yaan tunataka tuwe efficiency kiasi kwamba mtu akiwa nyuma ni kichwa tu kizunguke sio mwili mzima.,, Kwa hyo huwa tupo in experimental testing
 
Laana pekee tuliyopewa na Mungu ni ile ya kula kwa jasho
sasa hii ya kugeuza shingo tuonapo WANAWAKE.. tumejitakia wenyewe siyo mpango wa MUNGU.
Jamani Mungu atusamehe.
Sio jambo jema kumsimgizia Mungu.
Mungu alikupa macho ili uweze KUONA, lakini unapo geuza shingo KUTAZAMA hiyo ni choice yako.
To make a long story short......
Kuona ni lazima na Kutazama ni your choice
 
Back
Top Bottom