Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,548
- 3,551
Sure asee,, siku hzi siwaambii tena mambo adimu adimu mana level yao ya kufikiri iko tofaut sana na mmLazima wakudhanie umechanganyikiwa mkuu hasa kama ukijua kitu unamwambia kila wa karibu yako.
Kundi kubwa la wanadamu linakokotwa na uongo mwingi, hivyo pale unapojua jambo jipya jitahidi kuwa kimya na ukitaka kulisema angalia wa kumwambia.
Huwezi kumfundisha mwanafunzi wa darasa la 2 masomo ya kidato cha 6 akakuelewa atakuona kama unarap vile
Bora niwe naongea na kina Humble tuu huku Jf ndo tutaelewana