Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,188
- 27,043
haielezeki akajaribu tu ushasema mwenyew apo ni mysterious experienceJitahidi uielezee hata kidogo ikoje apate picha mzawa pale. Tunasubiri!
haielezeki akajaribu tu ushasema mwenyew apo ni mysterious experienceJitahidi uielezee hata kidogo ikoje apate picha mzawa pale. Tunasubiri!
Duh....! Mkuu unanishawishi ujue, wacha nifanye mchakato....tatizo ile jinsia nyingine nawaonaga kama wezi vile....Hamna hasara yeyote isipokuwa mnakuwa hampati nafasi ya kushuhudia utamu wa rohoni mara nyingi kama wengine wanaokula bumunda always though na wao mara nyingi ufariki mapema maana wanakuwa wameuchosha zaidi mwili wa damu na nyama kwa kuua mara kwa mara.
La petii mwaa is the best....
Mbona Mimi nimejaribu kadri ninavyoweza hebu tushirikishe kwako huwa inakuwaje kwenye la petii mwa ?haielezeki akajaribu tu ushasema mwenyew apo ni mysterious experience
Kwa hiyo unataka kupita kando sababu ya kifo au nini mkuu?Hiyo extremely pleasure ya orgasm inadumu kwa sekunde chache lakini sasa unaji feel the whole universe ni yako
Halafu unahisi kama kuna kitu Fulani muhimu sana umekitoa!!
Nimekufa Mara nyingi sana,kama kufa ndio acha nipite zangu hivi
Namaanisha woga dhidi ya kufa umepungua!!Kwa hiyo unataka kupita kando sababu ya kifo au nini mkuu?
Nadhani Ndio maana hata Mungu anatuficha utamu wa rohoni maana fikiri tukijua mazuri ya rohoni huku Duniani watabaki ndege tu na mawe.Namaanisha woga dhidi ya kufa umepungua!!
Sasa kama kufa kwenye we ni raha hivi kuliko kuishi kwa mastress,magonjwa na shida mingi kuliko raha bora tu enjoy hayo maisha ya rohoni
Nakubaliana na wewe 100%Nadhani Ndio maana hata Mungu anatuficha utamu wa rohoni maana fikiri tukijua mazuri ya rohoni huku Duniani watabaki ndege tu na mawe.
Wote tutajiua tuhamie huko rohoni anakoishi yeye mwenyewe mzazi mkuu.
This is true mkuu!Nakubaliana na wewe 100%
Mi ndio maana marijuana inanipaga amani ya roho na nafsi sanaThis is true mkuu!
Mateja wanatupa somo kwamba rohoni kumenoga basi tu sisi tunapaogopa maana hatujawahi kufika ila mateja kwa vile wao wameshawahi kufika na ni wenyeji hawapaogopi tena bali wanatamani kwenda wanaishi huko huko eternity.
We are immortal!
Sio marijuana sema Sacrament takatifu kwa mujibu wa imani ya Rastafarian.Mi ndio maana marijuana inanipaga amani ya roho na nafsi sana
Sacramento (sakramenti takatifu)Sio marijuana sema Sacrament takatifu kwa mujibu wa imani ya Rastafarian.
mie pia,hapa kuna watu wamentibua balaa nkifika home napata sakramenti roho inapoa na kutakata.Mi ndio maana marijuana inanipaga amani ya roho na nafsi sana
Best, hujaacha tu hayo mambo?mie pia,hapa kuna watu wamentibua balaa nkifika home napata sakramenti roho inapoa na kutakata.
Lepetit mwaa!mie pia,hapa kuna watu wamentibua balaa nkifika home napata sakramenti roho inapoa na kutakata.
skumoja moja sio mbaya rafikiBest, hujaacha tu hayo mambo?
Nimecheka saana mkuu!Duh! nimetoka ku le petit mwaaaaaa muda huu
Haina shida mkuu! Nikipata muda nitafanya hivyo.la petii mwa...janga la sasa hilo..matangazo kibao ya kuboresha watu wafikie tendo hilo.Njoo na mada tena ya kusaidia watu wafikie hapo..Mkuu Humble African..