La kujifunza kuhusu Epstein Saga

La kujifunza kuhusu Epstein Saga

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,514
Reaction score
12,487
Wanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja yatadhihirika hadharani na maisha yenu na familia zenu yataisha kwa aibu.

Kila mtu atawakataa.
 
Ivi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasa
 
HIKI KITU nimekifikiria hata Mimi, baada TU ya kutajwa DP world na jinsi WALIVO kuwa wanampigania.

KWA vyovyote Kuna WATU wame vuta pesa, Kuna mchezo ulifanyika kinyume cha Sheria ya NCHI, huenda DP world ana mkono wake okt 29, MKUU hayo mauaji SI ya kawaida.

vizazi vijavo vitayachukulia KWA ukubwa SANA, na yata fahamika MENGI, kipindi HICHO epstein hakuwahi AMINI kama SIKU MOJA Dunia itahua uovu wake, KWA VIONGOZI alio kuwa NAO kwenye mambo yake, wakimlinda KWA NGUVU zote, aisee tutubu na KUSALI SISI sote wakosaji.
 
Ivi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasa
wale vijana hawakustahili kuuawa kama wamefanya makosa mlitakiwa kuwakamata.kwa sababu mmeua mmelaaniwa na hamna namna mtaepuka karma.anayestahili kutoa uhai wa binadamu ni Mungu tu.ukitoa damu ya mtu malipo ni damu yako ndiyo maandiko yanavyosema.
 
Kwa nyinyi mnasema la kujifunza ila kwa wanaoyatenda wanabadili mbinu!.
Huwezi kuficha uovu kila siku kuna siku yatadhihirika tu na utaaibika na kuumia kwa sababu shetani Hana urafiki wa kweli na binadamu.utafanya mapenzi yake lakini mwisho wa siku anakuharibu.
 
Ivi wewe ulitaka Ile oct 29 serikali ikae tuu,iangalie zile fujo,fala kweli wewe mje tena muandame sasa
Yaani wanatumia nguvu kubwa sn mitandaoni kujaribu kulamisha watu waone serikali ilikosea sn kukabiliana na fujo zile
 
Huwa naomba asiwe msagaji kama anavyodai Mange. Maana sio akiondoka madarakani uanaeza kuanikwa
 
Yaani mnafuatilia habari za Udaku mnafanya kuwa agenda ya Taifa ?Epstein Ni udaku ni mambo ambayo hayawezi kudhibitishwa hicho ki organisation kimekua kizua uongo Dunia nzima.

IMG_1323.jpeg
 
Yaani mnafuatilia habari za Udaku mnafanya kuwa agenda ya Taifa ?Epstein Ni udaku ni mambo ambayo hayawezi kudhibitishwa hicho ki organisation kimekua kizua uongo Dunia nzima.

View attachment 3544320
Kwahiyo vyombo vikubwa duniani kama BBC zinatoa habari za udaku au yule mwanamfalme wa uingereza aliyejiuzulu amejiuzulu kwa sababu ya udaku?maccm hamjitambui ila soon akili zitaanza kuwarudi.
 
wale vijana hawakustahili kuuawa kama wamefanya makosa mlitakiwa kuwakamata.kwa sababu mmeua mmelaaniwa na hamna namna mtaepuka karma.anayestahili kutoa uhai wa binadamu ni Mungu tu.ukitoa damu ya mtu malipo ni damu yako ndiyo maandiko yanavyosema.
Huwa najiuliza hata risasi za MIGUU TU walishindwa?
 
Back
Top Bottom