La huyu mwanamke linanishangaza kidogo!!

La huyu mwanamke linanishangaza kidogo!!

hata mshkaji wake aliyepita ameniambia alimuacha kwa sababu jamaa alimwona binti kuwa hamkatii kiu yake.
wanaume wa dar ni janga la taifa, yaani unasaundisha demu then unaanza kiutafuta na waliomgegeda kabla na bado mnajadili ujinga!? poleni sana na nimeahirisha dar siji tena ni bora niende msumbiji tuu
 
[emoji41][emoji41]unaandika kwa speed ya kimondo, yaan tunajikuta wasomaji inabidi tuongeze vijimaneno ambavyo vinavyopelea ktk story yako ili ilete maaana, tuliza akiri kaka..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai ni wazima wa afya.bila kupoteza muda nianze moja kwa moja,Ni hivi wa kipindi cha miezi miwili iliopita tuliunda uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mmoja ana km 25yrs baada ya kufahamiana kwa kipindi cha miezi 6 ilitopita katika shughuli zetu za kutafta rizki.

Kilichonifanya nije na huu uzi ni kuwa ni msichana ambaye yupo romantic na ni mchangamfu kwenye 6x6 ila tatizo lake ni kwamba hapendi kuandaliwa kwa maana ya kwamba akifika kileleni tu huwa ndio mwisho wake wa kusex kwa siku hiyo na huwa anachoka sana japo huwa anapenda kuendelea na game ala ukilazimisha anadai kuwa anaumia sana mithili wa mtu anayebakwa na punda(anapata maumivu makali ukeni) na hata wakati tunasex hapendi nimguse sehemu zake zenye ashki(nazijua) kwa kusema hataki kufika kileleni mapema na ukifanya hivyo tu dkk 2 nyingi kashafika kileleni na game over. Huwa tunafanya romance tu ikiwa hatuna mpango wa kusex.

Nimejaribu kumuuliza hichi kitu kimetokea kwangu tu!? Ila aliniambia tangu aanze mapenzi kwa mara ya kwanza 9 yrs ago. So mchango wenu ni muhimu sana kujua ttz linaweza kuwa ni nini? Ili niweze kumsaidia kuhusu ambalo naliona ni ttz kabla ya kwenda hospital, hata mshkaji wake aliyepita ameniambia alimuacha kwa sababu jamaa alimwona binti kuwa hamkatii kiu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nimjaribu ili niweze kutoa ushauri mujarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni tangazo.....
So hapo kuna vitu viwili tunatakiwa tuzingatie wadada kupitia hili tangazo kabla hatujaenda PM

Jamaa ana uwezo wa kutufikisha kileleni
Jamaa ana mtarimbo

Binafsi nishafika PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye ufutio niazime,, nataka futa hii post..
IMG_20190226_222112.jpeg

Sent using Unknown device
 
Attachments

  • IMG_20190303_220021.jpeg
    IMG_20190303_220021.jpeg
    26.4 KB · Views: 27
Njoo na kwangu basi pamekauka
Hili ni tangazo.....
So hapo kuna vitu viwili tunatakiwa tuzingatie wadada kupitia hili tangazo kabla hatujaenda PM

Jamaa ana uwezo wa kutufikisha kileleni
Jamaa ana mtarimbo

Binafsi nishafika PM

Sent using Unknown device
 
Yani watu walivyomshambulia huyo binti utadhani mpira wa kona unavyong'ang'aniwa golini.

Hv kweli mabinti wote mlioshiriki ktk uzi huu hakuna hata m1 kati yenu ambaye hakushiriki mapenzi ktk umri huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joanah , Khantwe na cariha siku hizi comments zenu zimekuwa pumba kabisa aiseee, au mnakula cha Arusha? zamani mlikuwa watu wa hekima sana siku hizi kwisha kabisa.
 
Kilichonifanya nije na huu uzi ni kuwa ni msichana ambaye yupo romantic na ni mchangamfu kwenye 6x6 ila tatizo lake ni kwamba hapendi kuandaliwa kwa maana ya kwamba akifika kileleni tu huwa ndio mwisho wake wa kusex kwa siku hiyo na huwa anachoka sana japo huwa anapenda kuendelea na game ala ukilazimisha anadai kuwa anaumia sana mithili wa mtu anayebakwa na punda(anapata maumivu makali ukeni) na hata wakati tunasex hapendi nimguse sehemu zake zenye ashki(nazijua) kwa kusema hataki kufika kileleni mapema na ukifanya hivyo tu dkk 2 nyingi kashafika kileleni na game over. Huwa tunafanya romance tu ikiwa hatuna mpango wa kusex.

Pole sana mzee wewe pamoja na huyo mwanamke, Huyo bi dada anatatizo la upungufu wa maji maji katika sehemu zake za siri, kuna jamaa humu aliwahi liongelea hili na jinsi alivo litatua kwa mke wake.
 
Hili ni tangazo.....
So hapo kuna vitu viwili tunatakiwa tuzingatie wadada kupitia hili tangazo kabla hatujaenda PM

Jamaa ana uwezo wa kutufikisha kileleni
Jamaa ana mtarimbo

Binafsi nishafika PM
Sio matangazo, nahitaji ushauri wako tena km mwanamke mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom