Tetesi: Kylie Jenner amwagwa!

Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,587
15,450
Je unafikiri umemaliza mwaka vibaya?
La hasha kabisa!Kuna tetesi kuwa mlimbwende Kylie,amwagwa na mpenzi wake!Tena akiwa mjamzito.

deeb1bc0d9230ffcbfcbbf61b997a17e.jpg
c863ec2e8d943b15733434d4154ad3e0.jpg


Usiombe ikukute.. waweza kuzaa siku sio zako.
Namwonea imani,kama ni kweli.
 
Waliachana na tyga kisa nini walikua wanapendeza
Halaf mboba Rob harudi insta jamani
Khole nae ana mimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom