Tetesi: Kylie Jenner amwagwa!

Siri ya mtungi aijuae kata...we don't nn kilikuwa kinaendelea kwenye mahusiano yao.
 
Daah kweli masikini kumjua tajiri ni wajibu
hao watu wanaozunguziwa hapo hawajui kama
Kuna nchi inaitwa tz
 
Rob kafungiwa insta...sijui ana msala gani!
Alirusha picha za uchi za blachyna,,chyna akarepot akafutiwa akaunti
Kulikua na madogo wanamzigua rob awape pesa la sivyo watavujisha pic za uchi za chyna
Kumbe Rob yashamfika hapaaa chyna akilala na wanaume anamtumia pic akiwa uchi ,,
Ndio rob kuzirusha pic za chyna ili awakate ngebe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom