Sioni ubaya wa hii post, maana inaonyesha alikuwa anifahamu hiyo hospitali awali na sasa amefika tena hapo akakuta mabadiliko. It's a recognition of a well-done job, ambayo ndiyo inajenga. Kwani hapa JF ni kujadili mabaya tu?
Nakupongeza kwa ur observation na nafikiri wahusika wamepata hiyo credit na wengine wataiga