Kwisha habari yake

Kwisha habari yake

Empty container for sale

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
2,379
Reaction score
1,956
Kwisha habari yake


FB_IMG_17531619287943786.jpg
 
Baada ya kushindwa kukata shina aliamua kukata tawi alilo kalia kwa kutumainia mabawa ya maboks na watu wasio julikana kwamba watamuokoa asiangkuke.

Naripoti kutokea hapa Havanaaaa

NB. WENYE AKILI WOTE WANMSPOTI HUYU KIPARANGOTO. uchawa pembeni
 
Kwahiyo Bado yupo tu...au tunasubiria embe chini ya mnazi?😀
Yuko tayari kuua arudi kwenye kiti. Kile kiti kwa katiba yetu mbovu wewe ni alpha na omega. Majaji ,CDF, Spika na wengine wote wana kusujudu hata ikiwezekana kuvunja sheria.
 
Napitia comments hapa, haki ya nani ukija uniambie jukwaa hili ni la great thinkers nakutandika ngumi. Hakuna great thinker wa kutafsiri katuni hiyo kiboya namna hiyo......eti Samia?!!!! Hivi kwa akili ndogo tu hiyo katuni imemzungumzia Samia kweli?!!!

Akili yangu ya darasa la tatu inaniambia hv; mti ulikuwa unakatika (pengine na mkataji huyo huyo) na ulikuwa unakaribia kufilia mbali maana mkataji alikuwa anakaribia kiini na ungeanguka. Ghafla mpumbavu flani mbishi, anayejifanya anajua, ameacha shina anakimbilia juu matawini na kuanza kukata matawi......mbaya zaidi, anakata kule kwenye tawi alilokalia.

Wanaomuunga mkono, ambao kwa muktadha uliopo wa kisiasa tunaweza kusema ni chadema (haya mataputapu ya lissu, hususani ya humu jukwaani), nao ndo wapumbavu kuliko huyo lofa anayekata. Kwanza wamechoka (njaa, tone tone haiendi), pili akili hawana kabisaa kwani hawawezi hata kupiga hesabu (calculate) na kuweza kukadiria wapi hilo lofa lao litaangukia walidake lisife au kuumia. Hao wanaotarajiwa kumdaka ni mfano hai wa hawa nyumbu waliojaa humu, Kila sekunde Wanashusha threads za kumsifu huyo kimbaumbau wao aliyekosa mwelekeo bila kujua muda si muda atakuwa anagoagala chini.

Huu ni uchambuzi wa darasa la tatu.
 
Back
Top Bottom