Kwisha habari yake

Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,168
6,293
Aliejiita Major Sankara na kudai kua ameanzisha vita dhidi ya Rwanda akiwa mikononi mwa Rwanda Investigation bureau (RIB)
IMG_20190517_112608.jpeg
IMG_20190517_112536.jpeg
IMG_20190517_112436.jpeg
IMG_20190517_112327.jpeg
 
Najaribu kufikiria watakachomfanya hao vijana wa Kagame........sijui kama alijiandaa kwa lolote ama ni mihemuko tu ilimsukuma kuongea alichoongea.
 
Afadhali umeliona kwa angle nyingine PAKA anatapatapa muda wa kulipia kifo cha Rwigema umefika
PJ aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
 
Callixte Sankara, mtu aliyejitangaza kama naibu kamanda na msemaji wa kundi jipya la waasi la Rwanda Movement for Democratic Change. Meja Callixte Sankara, kama avyojitambulisha kwa vyombo vya habari, ni Mtutsi ambaye alinusurika maauji ya kimbari ya 1994 nchini Rwanda.
Wazazi wake na jamaa wake wote waliuawa na wanamgambo wa Kihutu- Interahamwe.
Kwa sasa ana umri wa miaka 34. Hakuwahi kuwa mwanajeshi wa RPF kwa kuwa RPF ilishika madaraka akiwa na umri wa kama miaka 10.
Baada ya kuhitimu sheria katika chuo kikuu cha Rwanda- Butare, Callixte Sankara, alizozana na serikali ya Rwanda, akakimbilia Afrika ya kusini ambako alijiunga na NRC- Rwanda National Congress, ambayo ilibuniwa na Kayumba Nyamwasa, jenerali wa zamani katika serikali ya Rwanda.
 
Lazima atakua wamemlambisha ile kitu inaitwa 'dudu la yuyu" huko mahabusu.

Kijana rojorojo eti anajiita major,*****.
 
PK aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate Wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
Nafuu iwe hivyo aisee. Maana mmmh
 
Najaribu kufikiria watakachomfanya hao vijana wa Kagame........sijui kama alijiandaa kwa lolote ama ni mihemuko tu ilimsukuma kuongea alichoongea.
Huenda mission imekamilika na sasa ataenda kusomewa hukumu ya uongo na kweli kisha analipwa kilicho chake na anandoka Rwanda akapumzike nchi za Ulaya maisha yake yote.

Huku nyuma tunabaki na dhana kuwa Kagame is untouchable.
 
PK aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate Wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
Okeyyyy. Leo nimepata jibu la siku nyingi. Akili yangu ilifikiri sana huyu muasi gani mbona yupo kimwa/amedoroda halaf ghafla unasikia anamngoa PK.
 
PK aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate Wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
Nipo nasoma kitabu kuhusu Kagame, naweza kuamini, jamaa ana mbinu chafu balaa
 
Back
Top Bottom