Kwio ndo nini wakuu?

Nimepokea sms toka kwa mwanaume mmoja wa dar ananiambia "miss n hi jpili kwio"
Maana yake nini wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo nilipoweka funga na fungua semi ndo sentensi uliyoambiwa....

Nijuavyo mimi kwio ni kuku....

Sasa soma tena sentensi halafu hapo kwenye kwio weka kuku.

Halafu shosti wabloku wanaume ambao wavivu kuandika sentinsi (n badala ya kuandika jina lako lote, jpili badala ya kuandika kwa kirefu....) hao kaa nao mbali watakojoa kabla hujafika kileleni maana ni wavivu, watakupa hela nusu na ataishia French kiss badala ya denda.

Kasie Mahaba.
 
Ahaha...
Kasie Mahaba, kila neno unalitazama kwa jicho la mahaba kwanza!
 
Hapo nilipoweka funga na fungua semi ndo sentensi uliyoambiwa....

Nijuavyo mimi kwio ni kuku....

Sasa soma tena sentensi halafu hapo kwenye kwio weka kuku.

Halafu shosti wabloku wanaume ambao wavivu kuandika sentinsi (n badala ya kuandika jina lako lote, jpili badala ya kuandika kwa kirefu....) hao kaa nao mbali watakojoa kabla hujafika kileleni maana ni wavivu, watakupa hela nusu na ataishia French kiss badala ya denda.

Kasie Mahaba.
Miss u big time.kasie matata unajua siku hizi sina nyege kabisa sijui naingia menopause.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom