Nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na Wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
Letisia Nyerere si alikwenda NCCR ama nimesahau?
Mbunge wa hapa kwimba mh. Masoli (msambaza mafuta migodini),toka atanganzwe na DED(Mkurugenzi) wa hapa hajawaii onekana hapa kwimba-mwanza,juzi alipigiwa simu haje kwenye vikao na wananchi,akajibu yupo uarabuni kwenye biashara zake za mafuta,leo wamemshitaki kwa letisia nyerere,na Wenje
kweli kabisa, Slaa ametoa siku 9 lasivyo maandamano ya nchi nzima..lolHuko mbali sana mkuu kitaeleweka mapema zaidi. Hatuwezi kuvumilia hii hali ngumu inayosababishwa na Kikwete hadi 2015!
Mmmh Mch. naona utakuwa umesahau.
MWANANCHI
Monday, 22 November 2010 20:34
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chadema, Leticia Musori amehamia chama cha NCCR-Mageuzi huku akikiponda chama chake cha zamani kwa madai kuwa kimejaa udini, ukabila na ubinafsi. Musori amedai kuwa amechukua uamuzi huo baada ya kutofautiana na viongozi wa juu wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, katibu mkuu Dk Willibrod Slaa na Tundu Lissu kuhusu uteuzi wa wabunge wa viti maalum, akisema kuwa baadhi ya watu wenye sifa walienguliwa.
Suala la viti maalum lilikuwa na utata mkubwa ndani ya Chadema kabla ya uchaguzi mkuu na kusababisha viongozi watofautiane, lakini mwishoni uongozi wa juu walikubaliana kumtafuta mtaalamu ambaye alitengeneza vigezo na sifa ambazo zilitumika kupata wabunge wa viti maalum, kikiwemo kigezo muhimu cha elimu, uzoefu na kuthubutu kugombea ubunge majimboni. Kwa mujibu wa mchanganuo huo wa kupata wabunge wa viti maalum, Musori alikuwa amepata alama za chini ambazo zingeweza kumpa ubunge tu iwapo Chadema ingefanya vizuri zaidi kwenye uchaguzi mkuu.
nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
Si Geita tu wengine wako Ukerewe na wengine wameenda Sengerema mtakoma hii ni zaidi ya operation sangara ni operation chakaza.walioko geita ni wapi? Mbona wengine wanasema wako geita?
poa tufanyeje sasa????Nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na Wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
poa tufanyeje sasa????
huyu ni binti ya Mzee Stephen J Mashishanga anaitwa Rahel (Recho)Huyo mtoto wa Mashishanga ni yule Tall mwembamba ama ni yule wa kike?
Leticia Nyerere hapo ndiyo kwao na aligombea ubunge kupitia CDM kwimba aliyetangazwa mshindi ni Mansori (MOIL) mfanyabiashara mwenye asili ya asia ambaye tangu kutangazwa hadi leo haijui Ngudu wala Kwimba. Akija wana Kwimba tumuondoe kama MubarakMmmh Mch. naona utakuwa umesahau.
Mbunge wa hapa kwimba mh. Masoli (msambaza mafuta migodini),toka atanganzwe na DED(Mkurugenzi) wa hapa hajawaii onekana hapa kwimba-mwanza,juzi alipigiwa simu haje kwenye vikao na wananchi,akajibu yupo uarabuni kwenye biashara zake za mafuta,leo wamemshitaki kwa letisia nyerere,na Wenje