KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,518
- 6,524
Sura yake ilisinyaa ghafla na alimmaindi huyo mdada lakini akajibalaguza kwa kurudi nyuma na kuondoka hilo eneo.Trump angekua mnafiki kama wengine.....angepewa mkono
Sura yake ilisinyaa ghafla na alimmaindi huyo mdada lakini akajibalaguza kwa kurudi nyuma na kuondoka hilo eneo.Trump angekua mnafiki kama wengine.....angepewa mkono
Analishwa na mwandani wake, hatoki leoMkuu Joseverest unaitwa huku.
Ukitaka aangalie wapi sasa?..Kama ni wewe mtu kakataa kukupa mkono bila sababu yoyote,kwa nin usimwangalie?..Thats automatic,kibinadamu unajikuta umemwengalia tu..Si umemuona jinsi alivyomkata macho kisha kuanza kuondoka.
Hii habari iko katika vyombo vya habari mbali mbali duniani hakuna kilichoongezwa wala kupunguzwa. Hiyo ambayo amempa mkono ndiyo itakuwa FAKE NEWS.
Huyu Bwana yaani kila anapokwenda lazima awe embarrassed na mtu![emoji3]
Duh!
Lakini mbona alishikana mkono na huyo first lady wa Poland...
Chuki saa zingine hufanya watu wawe majuha sana.
Hebu ona hii video ambayo haijafanyiwa uhariri.
Kuna jamaa wa CNN jana alifurahia utadhani ameshinda lotto only baadaye kidogo kuja kuyala matapishi yake mwenyewe.
its edited nliona full kune news, alimpa mkono after melanie
Ooooh!! Sasa nimeelewa.
Hiyo video uloweka ndio imeonyesha tukio lote vizuri. Ilikuwa ni walianza mwanaume kwa mwanaume na mwanamke kwa mwanamke then ndio wakabadilishana.Umeona jinsi watu walio na chuki wanavyoweza kujitoa akili?
Yaani wame edit tukio ili tu wajinufaishe na agenda zao za kiitikadi.
Ndiyo, bibie alimsalimia kwanza mke wa Trump halafu akageuka na kumsalimia Trump mwenyewe.
Hahaaa....welcome to the fake news era!
Shikamoo shemeji.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa hiyo vya kumshambulia Trump vimeisha had mmeanzaku weka clips za ku ungwa ungwa!
baadaye yule first lady alimpa mkono Trump, sema hakumpa mkono kwanza Trump kwa jambo ambalo ni tamaduni za ki polish ambapo mwanamke humpa mkono kwanza mwanamke mwenzie. pengine tu Trump hakuwa informed na wenyeji wake kuhusu hilo ila it wasnt a snub
hahahaShikamoo shemeji.
Hahahaa!!! Shemeji nahudhuriaga kwingi sema nasima tu. Ila kule ndio kwa kujidai.hahaha
shemejii kumbe hata international unahudhuria pia!!