Kwi kwi kwi lol! He is mad!

Kwi kwi kwi lol! He is mad!

Acha kukurupuka na kutafsiri habari husika vile utakavyo wewe. Hakuna popote pale nilipoandika kuhusu Hillary wala Dems na hii habari ya huyo First Lady kukataa kumpa mkono Trump imetangazwa na vyombo vya habari mbali mbali duniani na haina uhusiano na Hillary wala Dems.

Ukitaka aangalie wapi sasa?..Kama ni wewe mtu kakataa kukupa mkono bila sababu yoyote,kwa nin usimwangalie?..Thats automatic,kibinadamu unajikuta umemwengalia tu..
Any way,Ndicho mlichobakiza Dems,Sasa hivi ni mmebaki ku attack personality tu basi.Ki bibi kishawapoteza maboya..haha
 
Back
Top Bottom