Kwi kwi kwi lol! He is mad!

Kwi kwi kwi lol! He is mad!

Anti-trump kazini!!

Chuki humchoma anaye ihifadhi.
 
1499522806150.jpg
 
Ha ha ha! Wanakumbushia ya Monika Lewinsky! Ila Marekani nao waache siasa za majitaka; utadhani Bongo.
Hehe alilenga mulemule,

Yule mama mpaka leo hajaamini kama Trump kamshinda katika uchaguzi,hivyo saizi wapambe wake wamekuwa kama mahayawani.
 
Acha kukurupuka na kutafsiri habari husika vile utakavyo wewe. Hakuna popote pale nilipoandika kuhusu Hillary wala Dems na hii habari ya huyo First Lady kukataa kumpa mkono Trump imetangazwa na vyombo vya habari mbali mbali duniani na haina uhusiano na Hillary wala Dems.
Hahahahahaaa...
 
Back
Top Bottom