Kwetu uswahilin bwana we acha tu

Kwetu uswahilin bwana we acha tu

nYUMBAni Ni nYUMBAni. Uswahilini kuna vituko, vibaka, micharuko. Kwetu mbagala kwa nyoka kila siku burudani.
 
123264833.PhCru9M4.jpg
 
VAT?Kwani huko machine za TRA zimeishafika?Au umeweka cha juu?Duhh kweli wewe mchagga,ngoja niagize zangu pale Tandale!

ile nauli ya kuisafirisha ina VAT.hapo sijaweka commission yangu na ilikuwa kikifika nusu lita yangu
 
Back
Top Bottom