Kwetu Kakola na Msalala

Kwetu Kakola na Msalala

Picha, nmesoma shule ya Kakola darasa la kwanza na nilipanda mti mwaka 98,vp kampuni ya Tanzoro bado ipo?
Weka picha
Nami pia naikumbuka kampuni ya uchimbaji madini ya TanZoro. Alikuwepo Bwana Chikusa ambaye sasa ni marehemu RIP.
 
Msalala nategemea kuja huko mkuu kwenye mwezi wa 7 hivi kikazi
 
Back
Top Bottom