Kweto Bongo!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,170
Kuna jamaa ambaye ana watoto waliokulia nchi moja tunayopakana.
Sasa mtoto mmoja wa mtanzania akaulizwa darasani, kila mtu ataje jina la nchi yake.

Yule wa mtanzania akasema " kwetu Bongo"
Mwalimu akamuuliza "wapi"
Mtoto akajibu"bongo mwalimu"

Mwalimu alipomwuliza ni kwa nini unaita kwenu Bongo, mtoto akasema anamsikia baba yake kila akionga na simu kuwa anaongea na jamaa zake wa Bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom