Kwenye ukimya kuna ujumbe umejificha, jitahidi uutafute

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
370
Reaction score
1,111
UKIMYA nao ni SAUTI ambayo inatakiwa KUSIKILIZWA.

Ukimuona Ndugu,Rafiki,Mwenzi n.k..wameanza kuwa wakimya tofauti na zamani, usipuuzie.

Sio kila mtu anakuwa na UJASIRI wa kuongea anachopitia.

Wengi ukimya wao umebeba sauti nzito.

Kuna watu ukimya wao ni ishara ya maumivu makali sana ambayo wanapitia.

Kuna wengine ukimya wao ni ishara kuwa wamepoteza mwelekeo na wamechanganyikiwa HAWAJUI kabisa nini cha kufanya.

Badala ya kumpuuza aliyeanza kuwa kimya Badala ya kumtenga na kutomtafuta fanya bidii kuongea naye.

Kuna watu wengi wamepoteza watu wao muhimu kwa sababu walipuuzia ukimya wao, Kwenye ukimya kuna sauti, Kwenye Ukimya kuna UJUMBE umejificha JITAHIDI UUTAFUTE..

Karibuni Chai Na Mihogo [emoji2][emoji2]
 
UKIMYA nao ni SAUTI ambayo inatakiwa KUSIKILIZWA.
Ukimuona Ndugu,Rafiki,Mwenzi n.k..wameanza kuwa wakimya tofauti na zamani, usipuuzie.
Sio kila mtu anakuwa na UJASIRI wa kuongea anachopitia.
Wengi ukimya wao umebeba sauti nzito.
Kuna watu ukimya wao ni ishara ya maumivu makali sana ambayo wanapitia.
Kuna wengine ukimya wao ni ishara kuwa wamepoteza mwelekeo na wamechanganyikiwa HAWAJUI kabisa nini cha kufanya.
Badala ya kumpuuza aliyeanza kuwa kimya Badala ya kumtenga na kutomtafuta fanya bidii kuongea naye.
Kuna watu wengi wamepoteza watu wao muhimu kwa sababu walipuuzia ukimya wao,Kwenye ukimya kuna sauti,Kwenye Ukimya kuna UJUMBE umejificha JITAHIDI UUTAFUTE..

Hakika kabisa.
 
Never underestimate the powers of a silent man. Hao huwa hawakai kimya bali wanaongea sana kimoyomoyo. They speak to themselves.
 
UKIMYA nao ni SAUTI ambayo inatakiwa KUSIKILIZWA.
Ukimuona Ndugu,Rafiki,Mwenzi n.k..wameanza kuwa wakimya tofauti na zamani, usipuuzie.
Sio kila mtu anakuwa na UJASIRI wa kuongea anachopitia.
Wengi ukimya wao umebeba sauti nzito.
Kuna watu ukimya wao ni ishara ya maumivu makali sana ambayo wanapitia.
Kuna wengine ukimya wao ni ishara kuwa wamepoteza mwelekeo na wamechanganyikiwa HAWAJUI kabisa nini cha kufanya.
Badala ya kumpuuza aliyeanza kuwa kimya Badala ya kumtenga na kutomtafuta fanya bidii kuongea naye.
Kuna watu wengi wamepoteza watu wao muhimu kwa sababu walipuuzia ukimya wao,Kwenye ukimya kuna sauti,Kwenye Ukimya kuna UJUMBE umejificha JITAHIDI UUTAFUTE..

Karibuni Chai Na Mihogo [emoji2][emoji2]
Ingawa umeongea kimasihara ila kuna ukweli katika posti yako.
 
Back
Top Bottom