Nyarupala
JF-Expert Member
- Jun 2, 2024
- 641
- 1,055
Ngedere mwenyewe sasa,ni mpoleee hata hafananii na kitendo anachosingiziwa😅😅😅
Ngedere mwenyewe sasa,ni mpoleee hata hafananii na kitendo anachosingiziwa😅😅😅
😆😆😆😆* Kwanza haitatokea umeme ukakatika katika njia ya reli ya SGR , na hata kama ukikatoka train yetu itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wake yenyewe hadi mwisho wa safari...
Umenikumbusha tren ya Tazara aseeBaki njia kuu,mchepuko ni hatari!!