
Macho mekundu ni kavuliwa leo leo,Kwahiyo akiwa na macho ya blue huli mkuu..
wewe kama upepo sio...

Hata mimiNapenda Sangara,
Upande wa kichwa hasa jicho napenda sana, kuna ute ute flani hivi una ladha amaziiiiiing.
![]()
Hapa tunafanana kabisa T 1990 ELYKichwa kula kichwa cha masaki hasa jicho na ubongo wa samaki
Mkia hapana
ChakoriiHapa tunafanana kabisa T 1990 ELY
Abee T 1990 ELYChakorii
Habari za asubuhi mamy
Ni nzuri sana namshukuru Mungu T 1990 ELY .za kwakoHabari za asubuhi mamy
Za kwangu njema/salama kabisa mpendwaNi nzuri sana namshukuru Mungu T 1990 ELY .za kwako
AminaJambo la kheri.
Picha yangu huku ya nini mkuu tena
Hata huu ni pendwa mkuu si unaona nimejua unapenda kichwa cha samaki kama mimi🤪🤪🤪Amina
Nilijua tupo kwenye uzi wetu pendwa eti!!
Samahani mkuu
Hata huu ni pendwa mkuu si unaona nimejua unapenda kichwa cha samaki kama mimi
Siku nikija huko utanipeleka nikale samaki fresh kabisa..
Take it easy man ni nini mbaya![]()


mwandiko wako unanipa wakati mgumu sana kujua wewe ni she or he?