T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,099
Hata mwaliko hamuna mkuu?Sikukuu iko vizuri tunamshukuru Mungu
Siyo vizuri
Hata mwaliko hamuna mkuu?Sikukuu iko vizuri tunamshukuru Mungu
Sana tu... Changu, sangara, king, tasi, tuna etc etcOhoooo oky...lakini wengine si sawa mkuu
Nishataja kule juu... Ushawahi kunywa supu ya macho ya tuna?Hapo sawa kabisa....ni sehemu gani sasa unapenda sana kuila kwenye hao samaki mkuu
Mimi naenda kula nimepata mwaliko muda si mrefuNinamarafiki wengu waislam lkni wamenichinjia baharini..nipo tu sijielewi elewi mkuu
tusameheane tu
Ohooo kumbee..sawa!
Nafikiri nilishawahi kunywa ila sikumbuki.

KaribuWow!!hongera mkuu..plz take care of yoself man![]()
Hahaha.....kumbe unayajua.Matobolwa mkuu...asante
Ooh!!kumbeNilikutana nayo tabora kipindi hicho

MkiaKwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸♀️🤸♀️🤸💃💃💃💃🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona😅😅 👉🐠🐟🐠🐟🐠🐟
Akili za kuumwa na njaa hizi😅😅😅😅
Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto🤣🤣
Imeisha hiyoooo...🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂