Kwenye samaki unapenda kula nini?

Kwenye samaki unapenda kula nini?

Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise Ninaweza nisile ugali aloo..ninakisosomola ni kinouma

Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasanamaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona

Akili za kuumwa na njaa hizi

Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto

Imeisha hiyoooo...
Tako
 
Ila Kambare aliwi kichwa na yale masharubu unakuwa kama unadedeka hivi...karibuni mtera......
 
Back
Top Bottom