Kwenye mkataba wa TRL kuna nini?

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi, ni kitu gani kinazuia kuvunjwa kwa mkataba wa TRL? maana mwezi huu wa Novemba mwekezaji amekataa kulipa mishahara kwa wafanaya kazi kisingizio ni hana pesa,

Na wakati huo serikali imelazimika kutoa pesa za walipa kodi kulipa mishahara hiyo, wakati serikali ikifanya hivyo, serikali imeshindwa kuchapisha mishahara kwenye salary slip kisingizio haina pesa za kununua hizo karatasi, nk

tuwafanyeje? Serikali V/S TRL?
 
Huu mkataba unaweza kuwa na mkono wa mtu. Huyu mwekezaji uchwara atakuwa alishikwa mkono na mtu akamleta.
 
ningeshauri mkataba uje hadharani usomwe na wote ndo tutaweza eleza zaidi, i know jf tukiamua tutaukamata tu,magwiji ingieni kazini basi
 
Hivi hakuna uwezekano wa kuuvunja huu mkataba? wanasheria watusaidie ktk hili. na huyu mtu aliyemleta ashughulikiwe kama mafisadi wanavyoshughulikiwa,
 
basi ebu tumuunge mkono huyu RealTz77, tuupate huu mkataba ili tuangalie kuna nini, maana imekuwa too much sasa.
 
Back
Top Bottom