Kwenye masuala ya kidigitali, CCM imejidhihirisha kua ndio chama cha siasa Baba wa Teknolojia Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,836
Kwa mara ya kwanza katika historia ya ccm, mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kidigitali, umefanyika kwa kwa mafanikio makubwa, kwa maelewano na utulivu wa kiwango cha juu sana miongoni mwa wajumbe wa mkutano huo, tena kwa gharama kidogo na muda mfupi sana.

Teknolojia imetumiwa ipasavyo na ccm, kuandaa mkutano mkuu maalumu taifa, kukusanya na kuwaandaa wajumbe nchi nzima huko huko walipo, kujadiliana, kuamu na kufanya mabadiliko mazito na muhimu sana ya katiba ya CCM, kwa dhumuni la kuongeza fursa na wigo mpana zaidi wa idadi ya watia nia watakaopigiwa kura na wajumbe wa mikutano mikuu ya kata, wakati wa kura za maoni.

Mabadiliko haya yanakwenda kukiimarisha chama na kukifanya sikivu zaidi kwa wanachama wake, kukiimarisha na kua imara zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote hususan baada ya uchaguzi huo wa kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29, 2025..

Wanaharakati wapiga ramli na washirikina wa kisiasa nchini, hususani wapinzani wa ccm. wameshangazwa na ufanisi wa mkutano mkuu huo maalumu taifa wa ccm, uliofanyika kidigitali kwa umahiri, uhuru, uwazi, weledi na viwango vya kimataifa katika tehama, kinyume na matarajio ya wapiga ramli wengi.

Well done united and vibrant CCM,
Kazi na utu, tusonge mbele na DR.SAMIA SULUHU HASSAN October. :putinWalk:

Kidumu Chama Cha Mapindunzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Teknolojia imetumiwa ipasavyo na ccm, kuandaa mkutano mkuu maalumu taifa, kukusanya na kuwaandaa wajumbe nchi nzima huko huko walipo, kujadiliana, kuamu na kufanya mabadiliko mazito na muhimu sana ya katiba ya ccm, kwa dhumuni la kuongeza fursa na wigo mpana zaidi wa idadi ya watia nia watakaopigiwa kura na wajumbe wa mikutano mikuu ya kata, wakati wa kura za maoni. Mabadiliko haya yanakwenda kukiimarisha chama na kukifanya sikivu zaidi kwa wanachama wake, kukiimarisha na kua imara zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote hususan baada ya uchaguzi huo wa kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29, 2025..

Well done united and vibrant ccm,

kwa mfano katika uchovu huo wanaweza kufanya nini sasa wazee hao na mambo yanafanyika kidigili sasa hivi gentleman?
au kwa kuvalishwa tisheti ndio imekua jambo kuuuuubwaaaa, :pedroP:

chama cha siasa Tanzania, baba wa kuwavisha wananchi vijana, wazee, watoto na akina mama tishets ni ccm gentleman ama hujui?
 
Ulikua ni mkutano wa majadiliano au wengine walikua wanaangalia tu TV. Uhuni
 
Hoja ingekuwa na mashiko kama usingetumia ukada....kuna hela ya CCM hapo imetumika au maandalizi yamefanywa na wakuu wa mikoa na wilaya (hiyo si serekeleee) Chadema wasingepewa hata ukumbi hata mmoja
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya ccm, mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kidigitali, umefanyika kwa kwa mafanikio makubwa, kwa maelewano na utulivu wa kiwango cha juu sana miongoni mwa wajumbe wa mkutano huo, tena kwa gharama kidogo na muda mfupi sana.

Teknolojia imetumiwa ipasavyo na ccm, kuandaa mkutano mkuu maalumu taifa, kukusanya na kuwaandaa wajumbe nchi nzima huko huko walipo, kujadiliana, kuamu na kufanya mabadiliko mazito na muhimu sana ya katiba ya CCM, kwa dhumuni la kuongeza fursa na wigo mpana zaidi wa idadi ya watia nia watakaopigiwa kura na wajumbe wa mikutano mikuu ya kata, wakati wa kura za maoni.

Mabadiliko haya yanakwenda kukiimarisha chama na kukifanya sikivu zaidi kwa wanachama wake, kukiimarisha na kua imara zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote hususan baada ya uchaguzi huo wa kura za maoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29, 2025..

Wanaharakati wapiga ramli na washirikina wa kisiasa nchini, hususani wapinzani wa ccm. wameshangazwa na ufanisi wa mkutano mkuu huo maalumu taifa wa ccm, uliofanyika kidigitali kwa umahiri, uhuru, uwazi, weledi na viwango vya kimataifa katika tehama, kinyume na matarajio ya wapiga ramli wengi.

Well done united and vibrant CCM,
Kazi na utu, tusonge mbele na DR.SAMIA SULUHU HASSAN October. :putinWalk:

Kidumu Chama Cha Mapindunzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Sawa, kumbe no reforms no election ni Muhimu hata kwa CCM,si unaona Sasa tlaahtlaah!Haya na tufanye mabadiliko ya uchaguzi,nchi isonge mbele.
 
kwa mfano katika uchovu huo wanaweza kufanya nini sasa wazee hao na mambo yanafanyika kidigili sasa hivi gentleman?
au kwa kuvalishwa tisheti ndio imekua jambo kuuuuubwaaaa, :pedroP:

chama cha siasa Tanzania, baba wa kuwavisha wananchi vijana, wazee, watoto na akina mama tishets ni ccm gentleman ama hujui?
Out of point
 
Ulikua ni mkutano wa majadiliano au wengine walikua wanaangalia tu TV. Uhuni
fuatilia mara kwa mara mikutano hiyo ya ccm ya kidigitali, na kwahakika utapata uelewa na ufahamu wa kutosha zaidi kuhusu matumizi na masuala ya technolojia na utakua huweweseki tena gentleman, sawa ?
 
kwa mfano katika uchovu huo wanaweza kufanya nini sasa wazee hao na mambo yanafanyika kidigili sasa hivi gentleman?
au kwa kuvalishwa tisheti ndio imekua jambo kuuuuubwaaaa, :pedroP:

chama cha siasa Tanzania, baba wa kuwavisha wananchi vijana, wazee, watoto na akina mama tishets ni ccm gentleman ama hujui?
Ndio wanataka reforms ili Babu zao wasonge mbele!
 
kwa mfano katika uchovu huo wanaweza kufanya nini sasa wazee hao na mambo yanafanyika kidigili sasa hivi gentleman?
au kwa kuvalishwa tisheti ndio imekua jambo kuuuuubwaaaa, :pedroP:

chama cha siasa Tanzania, baba wa kuwavisha wananchi vijana, wazee, watoto na akina mama tishets ni ccm gentleman ama hujui?
Ndio wanataka reforms ili Babu zao wasonge mbele!
 
Hoja ingekuwa na mashiko kama usingetumia ukada....kuna hela ya CCM hapo imetumika au maandalizi yamefanywa na wakuu wa mikoa na wilaya (hiyo si serekeleee) Chadema wasingepewa hata ukumbi hata mmoja
CCM ina pesa hizo ni hisia zako km mlivyozoea
 
fuatilia mara kwa mara mikutano hiyo ya ccm ya kidigitali, na kwahakika utapata uelewa na ufahamu wa kutosha zaidi kuhusu matumizi na masuala ya technolojia na utakua huweweseki tena gentleman, sawa ?
Acha kuweweseka gentleman, jibu swali
 
Zoom imekuwepo kwa miaka mingi.

Kipindi cha COVID 19 watu wametumia sana zoom kufanya mikutano na vikao kidijitali badala ya kukutana ana kwa ana

Sijui ni nini kipya kwa CCM hapo?

Yoyote mwenye smartphone anaweza kudownload zoom na kuungwa kwenye meeting akipewa namba ya kujiunga

Huo ubaba wa teknolojia umetokea wapi? Chawa mna ujinga mwingi
 
Acha kuweweseka gentleman, jibu swali
au anza hata kufuatilia tua hata spaces za huko x mathalani za yule mama mropokaji mkimbizi ambae pia ni muigizaji wa kutekwa kule Kenya, itakusaidia walau kua na uelewa kidogo kuhusu matumizi ya technolojia ya mawasiliano katika mikutano na majadiliano
 
Acha kuweweseka Gentleman, jibu swali.
 
Zoom imekuwepo kwa miaka mingi.

Kipindi cha COVID 19 watu wametumia sana zoom kufanya mikutano na vikao kidijitali badala ya kukutana ana kwa ana

Sijui ni nini kipya kwa CCM hapo?

Yoyote mwenye smartphone anaweza kudownload zoom na kuungwa kwenye meeting akipewa namba ya kujiunga

Huo ubaba wa teknolojia umetokea wapi? Chawa mna ujinga mwingi
soma na kuelewa hoja mahususi mezani itakusaidia sana gentleman kuliko kukurupuka tu.

halafu,
kama sio jambo jipya,
mbona hakuna chama chochote cha siasa humu nchini, kilichowahi kutumia hiyo zoom au platfom nyingine ya kidigitali kufanya mikutano yake, zaidi ya ccm kuanza kufanya mikutano yake maalumu kidigitali leo hii?

hizi mambo zinahitaji miundombinu imara gentleman,
na ni ccm pekee iliyodhihirisha kua nayo humu nchini na ndio maana ni baba wa vyama vyote vya siasa nchini katika matumizi ya technolojia ya mawasialiano.
 
BABA WA KIDIGITAL TENA NA WENYE TEKNOLOJIA ZAO WASEMEJE ? .UKIKOSA HATA KATIBU KATA WE CHAWA KINYEO MLAUMU SHETANI🙄
 
Back
Top Bottom