Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 35,830
- 47,150
Duh!Mimi huyu mo deji nilikuwa namuonea shuleni.ilikuwa akija shule na baskeli yake nachukua kibabe naendesha.leo hii similiki ata pagala mwenzangu anamiliki timu kubwa kbs.daahh
Duh!Mimi huyu mo deji nilikuwa namuonea shuleni.ilikuwa akija shule na baskeli yake nachukua kibabe naendesha.leo hii similiki ata pagala mwenzangu anamiliki timu kubwa kbs.daahh
Chuki Ni mimba,Watu wa chuga bhana wakivaa vizuri basi wanaona wako juu ya kila mtu
FactChuki Ni mimba,
Fanya juhudi uitoe , kabla haijazaa
Hilo swala ni mtihani sana kwa kweli..ubaguzi sio mzuri wala haifai kuujadilia kabisaSasa hapa maswala ya arusha yamekujaje? Halafu sasa hivi kuna hii tabia ya ubaguzi wa kikabila inaanza kuota makucha,hali itakuwa mbaya siku zinavyokuja
Kenya wanajua hili,nadhani wa tz tinajiingiza taratibuHilo swala ni mtihani sana kwa kweli..ubaguzi sio mzuri wala haifai kuujadilia kabisa
Una uhakika hio uliovuta ni ile ya lucky dube???Chuki Ni mimba,
Fanya juhudi uitoe , kabla haujaizaa
Dah Dumas the terrible amelike. Ulipoteaga wapi mkuu?
Mkuu harakati za maisha tu nipo busy naandaa project moja makini ambayo haitanifanya niendelee kuitwa tena mnyongeDah Dumas the terrible amelike. Ulipoteaga wapi mkuu?
Mkuu usinisahau aseeMkuu harakati za maisha tu nipo busy naandaa project moja makini ambayo haitanifanya niendelee kuitwa tena mnyonge
😁😁😁
Usijari mkuu maana nitakukumbuka katika ufalme wangu,Kama wewe ulivyotambua thamani ya uwepo wangu hapa jamviniMkuu usinisahau asee
Fanya kazi wewe mkaldayo acha porojo jamvin.😂Dah iyo signature Yako maamae. Humu ndani watu mna swagger!
Licha ya yote hao wote walipangiwa hivyo pindi tu walipozaliwa. Umdharau usimdharau mtu haibadilishi chochote kwenye forces of nature.
Hata wewe kuandika huu uzi ilishapangwa longtime leo utaandika huu uzi.
Kweli Kabisa mkuuNakuja ifuatavyoooo...
Nasema tena kwenye haya maisha usije mdharau mtu,nakumbuka kipindi tukiwa wa dogo, msimu wa kufunga shule kwa ajili ya likizo ya December wazazi walikuwa wanatupeleka moshi kwa ajili ya kula Christmas maeneo ya machame, sasa kipindi hicho tukiwa huko machame kijijini watu walitushanga tulivyokuwa tunapendeza, sisi tuliwaona watu waajabu na kuwadharau mbona wachafu tena miguuni hawajavaa hata malapa,wamepauka, nguo chafu tena vimechanika chanika kweli tuliwadharau sana.
Wale tuliowadharau tukiwa wadogo leo hii, wamejenga huko kwao majumba ya ajabu, wanamaisha manzuri sana, sasa hivi wananishanga mimi mbona sijawahi kwenda ulaya,leo hii mimi ndo naonekana mshamba. Daah!
Mwezi wa 8 katika pita pita zangu maeneo ya mabibo mwisho, pembezoni mwa barabara ya treni kuna maeneo ya wazi,ambayo yapo tu yamezungukwa na majani, sasa nilimkuta mzee mmoja analima tena mchana wa jua kali sana, kila mtu alipokuwa anamuona analima walimcheka na kusema pakame hivyo kutaota nini? Wengi walimcheka sana.mini mwenyewe nilimcheka.
Juzi nimepita kwenye maeneo hayo, nimeshangaa kukuta bonge la bustani limekubali sana, mzee kapanda matembele, mboga ya maboga, bamia na mchicha bustani imekubali sana, tena nimewakuta wa mama wanavuna nimeshangaa sana, nikajisemea sitakaa mdharau mtu hata kama yukoje, maana alichokiumba mwenyezi MUNGU hakukosea.
Nawakaribisha kwa maoni na mchango wenu ndugu zangu.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD.
APPROXIMATELY, ONCE AGAIN
Ndo maishaMm mwenyewe nilikuwa nafaulu sana darasani, kila mtu alidhani nitakuja kuwa na mafanikio sana na mm nikawa nawaona ambao hawafanyi vizuri ( wanafeli) watakuja kupataje pesa.
Baada ya miaka 30 sasa, wao wapo mbali sana kimaisha na wanaishi mijini maisha mazuri. Mimi nipo kijijini dhiki haziniishi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
kweliMaisha Ni Kama gwaride la jeshi,saluti ikipigwa nyuma aliyekuwa wa mwisho anakuwa wa kwanza na wa kwanza anakuwa wa mwisho