Dah iyo signature Yako maamae. Humu ndani watu mna swagger!ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD.
APPROXIMATELY, ONCE AGAIN
Licha ya yote hao wote walipangiwa hivyo pindi tu walipozaliwa. Umdharau usimdharau mtu haibadilishi chochote kwenye forces of nature.
Hata wewe kuandika huu uzi ilishapangwa longtime leo utaandika huu uzi.