acha uchochezi mzee baba, mi nimefanya kuongezea nyama tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyo dem safi sana..anakuweka wazi kbsaa..ili ucje ukamtuhumu badae..apo kujilia vyepesi sana..alaf wenzio hatuulizag ilo swali..kuna mwanamke alie single sikuizi?? We kula akikutunuku ndio anakua wako huyo..asipokutunuku kuna mwenzio katunukiwa[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hili jibu hatari, aisee![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23]That's good chance kwako wew ndo utakuwa wa Dar